Askofu Geita kortini akidaiwa kutapeli
ASKOFU wa Kanisa la Logos Evangilical Ministry (LEM) mkoani Geita, Michael Elikana (32) amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Nyankumbu mjini hapa akituhumiwa kujipatia sh milioni 3.5 kwa udanganyifu. Mbele ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo29 Jan
Ofisa elimu kortini kwa kutapeli mil 5.4/-
OFISA Elimu wa Sekondari wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Julius Mduma amefikishwa kwenye Mahakama ya Wilaya ya Kiteto na kushtakiwa kwa kosa la kujipatia Sh 5.4 milioni kwa njia ya udanganyifu.
9 years ago
Habarileo19 Aug
Kortini akidaiwa kuua akigombea mwanamke
MFANYABIASHARA wa duka la vipuri vya magari mjini Tarime mkoani Mara, Tumaini Jacob amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya akituhumiwa mauaji ya askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
10 years ago
Mtanzania18 Dec
Mbunge kortini akidaiwa kuchoma bendera ya CCM
NA JANETH MUSHI, ARUSHA,
MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema),
jana alifikishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Maji ya Chai wilayani Arumeru kwa tuhuma za uharibifu wa mali.
Mbele ya Hakimu wa Mahakama hiyo, David Mwita, ilidaiwa kuwa Mbunge huyo alitenda kosa hilo juzi jioni katika eneo la Maji ya Chai Kati, nje kidogo ya jiji la Arusha.
Ilidaiwa kuwa Nassari kwa makusudi alichoma bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokuwa na thamani ya Sh. 250,000, kitendo ambacho ni...
10 years ago
Habarileo10 Jan
Mhadhiri CBE kortini akidaiwa kutishia kuua
MHADHIRI Msaidizi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Andrew Kimbombo (52) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashitaka ya kutishia kuua wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
9 years ago
Habarileo28 Aug
Mchina kortini Dar akidaiwa kukutwa na meno ya simba
RAIA wa China, Jianfeng Wu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na meno ya simba yenye thamani ya Sh milioni 10.1.
11 years ago
Mwananchi03 Mar
Askofu wa Geita atahadharisha wananchi
10 years ago
Habarileo24 Aug
Waumini wamburuza kortini askofu wao
ASKOFU wa Kanisa la EAGT Kanda ya Magharibi, Raphael Machimu amefikishwa mahakamani na waumini wa kanisa hilo.
11 years ago
Tanzania Daima13 Apr
Askofu Geita atoa onyo maziko ya Padri Kimisha
ASKOFU wa Jimbo Katoliki Geita, Damian Dallu, aliongoza mamia ya wakazi wa Geita na maaskofu kwenye ibada ya mazishi ya Padri Henry Kimisha aliyekuwa Paroko wa Kanisa la Mama Fatima...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-P0TeoGRmjwY/XtjJd0GzPuI/AAAAAAALslM/5YW-P0zUZLw_roIlAKojzIDwIS9Oo7gZQCLcBGAsYHQ/s72-c/Makamu%2BRais%2Bwa%2BGGML%252C%2BSimon%2BShayo.jpg)
GEITA GOLD MINING LTD YATOA MILIONI 100/- KUSAIDIA UJENZI CHUO KIKUU HURIA-GEITA
![](https://1.bp.blogspot.com/-P0TeoGRmjwY/XtjJd0GzPuI/AAAAAAALslM/5YW-P0zUZLw_roIlAKojzIDwIS9Oo7gZQCLcBGAsYHQ/s400/Makamu%2BRais%2Bwa%2BGGML%252C%2BSimon%2BShayo.jpg)
Awamu ya kwanza ya mradi huo inajumuisha ujenzi wa jengo la utawala linalojumuisha chumba mikutano cha viongozi, maktaba, chumba cha maabara ya kompyuta na ofisi nyingine tano.
Pia kiasi hicho cha pesa kilichotolewa na GGML ni kwa ajili ya ununuzi wa...