Mchina kortini Dar akidaiwa kukutwa na meno ya simba
RAIA wa China, Jianfeng Wu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na meno ya simba yenye thamani ya Sh milioni 10.1.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo07 Jan
Mchina kortini kwa tuhuma ya kunaswa na meno ya tembo
WATU wawili akiwemo raia wa China waliokamatwa na meno ya tembo Bandari ya Dar es Salaam, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukutwa na nyara hizo bila kibali.
11 years ago
Habarileo04 Aug
Mbaroni akidaiwa kukutwa na gari lililoibwa Dar
POLISI mkoani Manyara imemkamata mkazi wa mjini Babati, Rajabu Marobo (30) ikimtuhumu kuhusika na wizi wa gari lililoibwa jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Mwananchi26 Dec
Mbaroni akidaiwa kukutwa akifanya ushirikina jikoni
9 years ago
Mwananchi13 Oct
Mchina wa meno ya tembo akosa dhamana
10 years ago
Habarileo27 Dec
2 mbaroni kwa kukutwa na meno ya tembo
WATU wawili wametiwa mbaroni na Polisi mjini Mpanda kwa kukutwa na meno ya tembo waliokamatwa yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 157 ndani ya basi la Adventure.
9 years ago
Habarileo19 Aug
Kortini akidaiwa kuua akigombea mwanamke
MFANYABIASHARA wa duka la vipuri vya magari mjini Tarime mkoani Mara, Tumaini Jacob amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya akituhumiwa mauaji ya askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Askofu Geita kortini akidaiwa kutapeli
ASKOFU wa Kanisa la Logos Evangilical Ministry (LEM) mkoani Geita, Michael Elikana (32) amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Nyankumbu mjini hapa akituhumiwa kujipatia sh milioni 3.5 kwa udanganyifu. Mbele ya...
10 years ago
Mtanzania18 Dec
Mbunge kortini akidaiwa kuchoma bendera ya CCM
NA JANETH MUSHI, ARUSHA,
MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema),
jana alifikishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Maji ya Chai wilayani Arumeru kwa tuhuma za uharibifu wa mali.
Mbele ya Hakimu wa Mahakama hiyo, David Mwita, ilidaiwa kuwa Mbunge huyo alitenda kosa hilo juzi jioni katika eneo la Maji ya Chai Kati, nje kidogo ya jiji la Arusha.
Ilidaiwa kuwa Nassari kwa makusudi alichoma bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokuwa na thamani ya Sh. 250,000, kitendo ambacho ni...
10 years ago
Habarileo10 Jan
Mhadhiri CBE kortini akidaiwa kutishia kuua
MHADHIRI Msaidizi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Andrew Kimbombo (52) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashitaka ya kutishia kuua wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.