2 mbaroni kwa kukutwa na meno ya tembo
WATU wawili wametiwa mbaroni na Polisi mjini Mpanda kwa kukutwa na meno ya tembo waliokamatwa yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 157 ndani ya basi la Adventure.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Mbaroni kwa meno ya tembo, gobore
MWANAKIJIJI wa Kilinda, wilayani Mlele, Katavi, Bathromeo Mtongwa (58), amekamatwa na vipande viwili vya meno ya tembo vyenye uzito wa kilo 15, ambavyo thamani yake ni sh milioni 22. Pamoja...
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
Wawili mbaroni kwa meno ya tembo
JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia Fatuma Athumani (50) na Joel Antony kwa tuhuma za kukutwa na vipande tisa vya meno ya tembo ndani ya gari lenye namba ya usajili...
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Mbaroni kwa vipande 6 vya meno ya tembo
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya, mkoani Mara, linamshikilia Bahati Hunga (39) mkazi wa Mtaa wa Msati kwa tuhuma za kukutwa na meno ya tembo vipande 6...
11 years ago
Habarileo28 Jul
Mbaroni kwa kuwaua, kuwang’oa meno tembo
MKAZI wa Kijiji cha Malolo B, Tarafa ya Mikumi, wilayani Kilosa anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuua tembo wawili kwa risasi ndani ya Hifadhi na kuwang’oa meno manne kwa kutumia shoka.
11 years ago
Habarileo14 Feb
Mkazi wa Itigi mbaroni kwa meno 21 ya tembo
POLISI mkoani Singida inamshikilia mkazi wa Kijiji cha Mwamagembe Tarafa ya Itigi wilayani Manyoni kwa tuhuma za kupatikana na vipande 21 vya meno ya tembo vyenye thamani ya Sh milioni 43.12 tu.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-chaPuUbmfNw/U3RZ9DrmYEI/AAAAAAAFhxg/RMJ66Jk1TZg/s72-c/unnamed+(1).jpg)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYlv9Z3nXF3jwBvVRZTIeDXsbZR27HwEmr2VG64XQCtosSAHVNaI-mOkEM5ZxWRHLfrr4bzgmBRHqjwdeLHsx36o/unnamed1.jpg?width=650)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
10 years ago
Mwananchi25 Mar
Mbaroni kwa kukutwa na mifupa ya albino