Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akionesha sehemu ya  vipande 8 vya meno ya tembo vilivyodakwa huko Tabata Kisiwani jijini Dar es salaam
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akikagua gari linalotuhumiwa kutumika.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Jeshi la Polisi Kanda Maalum limefanikiwa kukamata vipande zaidi ya ishirini (20) vinavyodhaniwa kuwa ni meno ya Tembo vilivyokuwa vimehifadhiwa nadni ya mfuko maarufu kwa jina la kiroba. Tukio hili lilitokea tarehe 30/04/2014 katika kiwanda cha Nondo Steel Master kilichopo eneo la Mbozi Road (W) kipolisi Chang’ombe (M) kipolisi Temeke baada ya Polisi kupokea taarifa kuwa katika kiwanda hicho kuna mfuko wa kiroba wenye bidhaa hiyo umefichwa. Baada ya taarifa hizo askari kikosi cha Upelelezi...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakamatwa na meno ya tembo vipande 22 vyenye thamani ya Sh157 milioni

>Jeshi la Polisi mkoani  Katavi limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na meno ya tembo  vipande 22 vyenye uzito wa kilogramu  46 na thamani ya Sh157 milioni   wakati wakiyasafirisha kwa basi kutoka Mpanda  kwenda Mkoa wa Kigoma

 

11 years ago

Michuzi

ADAKWA NA VIPANDE 28 VYA MENO YA TEMBO


 Na John Gagarini, Kibaha

MKAZI wa Ruaha mkoani Morogoro Sibeteli (34) anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za kukutwa na vipande 28 vya meno ya tembo ambavyo ni nyara za serikali.
Mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa ameyahifadhi meno hayo ndani ya gari aina ya Toyota Mark II yenye namba za usajili T 129 ARH.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kaimu kamanda wa polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi (ACP) Steven Kiango alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 22 mwaka huu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Akamatwa na vipande 21 vya meno ya tembo

JESHI la Polisi limemkamata mtu mmoja  mkazi wa Mwamagembe, Itigi wilayani Manyoni, Singida, George James (30)  na vipande 21 vya meno  ya tembo akiwa njiani kuvisafirisha. Kamanda wa Polisi mkoani humo (SACP)...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni kwa vipande 6 vya meno ya tembo

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya, mkoani Mara, linamshikilia Bahati Hunga (39) mkazi wa Mtaa wa Msati kwa tuhuma za kukutwa na meno ya tembo vipande 6...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matatani kwa vipande 28 vya meno ya tembo

JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Anania Sibeteli (34) kwa tuhuma za kukutwa na vipande 28 vya meno ya tembo kinyume cha sheria. Mtuhumiwa huyo mkazi wa Ruaha, mkoani...

 

11 years ago

Michuzi

News alert: mtu mmoja adakwa na vipande 21 vya meno ya tembo mkoani singida leo

Jeshi la polisi mkoani SINGIDA limekamata vipande 21 vya meno ya Tembo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 43.   Nyara hizo za serikali zimekamatwa katika kijiji cha Mwamagembe  wilayani Manyoni  zikisafirishwa kwenda Itigi, mkoani Singida.   Mtu mmoja  George James amekamatwa kwa tuhuma za kukutwa na meno  hayo ya tembo yakiwa yamehifadhiwa katika mabegi mawili ya kusafiria.   Mtuhumiwa huyo alikamatwa katika kizuizi cha idara ya maliasili kilichoko katika kijiji Ukimbu, kata  ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Meno ya tembo yawaponza watatu Kigoma

WATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kukutwa na meno  ya tembo sambamba na pombe ya moshi (gongo), katika Kijiji cha Nyakitonto, Wilaya ya Kasulu mkoani hapa. Akizungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

Msako wanasa watu saba na meno ya tembo

Kikosi cha Kupambana na Ujangili Kanda ya Kati (KDU) kimefanikiwa kukamata vipande 59 vya meno ya tembo vikiwa na uzito wa zaidi ya kilo 200 vyenye thamani ya Sh176.7 milioni sawa na tembo 29.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani