Akamatwa na vipande 21 vya meno ya tembo
JESHI la Polisi limemkamata mtu mmoja mkazi wa Mwamagembe, Itigi wilayani Manyoni, Singida, George James (30) na vipande 21 vya meno ya tembo akiwa njiani kuvisafirisha. Kamanda wa Polisi mkoani humo (SACP)...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-chaPuUbmfNw/U3RZ9DrmYEI/AAAAAAAFhxg/RMJ66Jk1TZg/s72-c/unnamed+(1).jpg)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYlv9Z3nXF3jwBvVRZTIeDXsbZR27HwEmr2VG64XQCtosSAHVNaI-mOkEM5ZxWRHLfrr4bzgmBRHqjwdeLHsx36o/unnamed1.jpg?width=650)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
MichuziADAKWA NA VIPANDE 28 VYA MENO YA TEMBO
Na John Gagarini, Kibaha
MKAZI wa Ruaha mkoani Morogoro Sibeteli (34) anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za kukutwa na vipande 28 vya meno ya tembo ambavyo ni nyara za serikali.
Mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa ameyahifadhi meno hayo ndani ya gari aina ya Toyota Mark II yenye namba za usajili T 129 ARH.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kaimu kamanda wa polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi (ACP) Steven Kiango alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 22 mwaka huu...
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Mbaroni kwa vipande 6 vya meno ya tembo
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya, mkoani Mara, linamshikilia Bahati Hunga (39) mkazi wa Mtaa wa Msati kwa tuhuma za kukutwa na meno ya tembo vipande 6...
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Matatani kwa vipande 28 vya meno ya tembo
JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Anania Sibeteli (34) kwa tuhuma za kukutwa na vipande 28 vya meno ya tembo kinyume cha sheria. Mtuhumiwa huyo mkazi wa Ruaha, mkoani...
11 years ago
Michuzi13 Feb
News alert: mtu mmoja adakwa na vipande 21 vya meno ya tembo mkoani singida leo
10 years ago
Mwananchi27 Dec
Wakamatwa na meno ya tembo vipande 22 vyenye thamani ya Sh157 milioni
11 years ago
CloudsFM01 Aug
RAIA WA VIETNAM AKAMATWA NA MZIGO WA MENO YA TEMBO KUCHA ZA SIMBA
Kamishna Msaidizi wa Polisi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Hamisi Selemani, amesema mtuhumiwa huyo alikamatwa jana wakati alipotaka kusafirisha nyara hizo kwa kutumia Shirika la Ndege la Qatar Airways kwenda nchini Vietnam kupitia Doha.
Amesema alipopekuliwa alikutwa na nyara hizo ambazo...
9 years ago
Dewji Blog01 Dec
Mkazi wa Dar Es Salaam akamatwa na Jeshi la Polisi Mbeya akiwa na meno ya Tembo kilo 8.5
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi.
Na Emanuel Madafa, Mbeya
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linamshikilia Lukas Wambura (38) Mkazi wa Banana – Dar es salaam mwenye shahada ya dharura ya kusafiria ab-10044029 akiwa na vipande vinne vya meno yadhaniwayo kuwa ya tembo vyenye uzito wa kilo 8.4 yenye thamani ya dola za kimarekani 30,000, sawa na tshs 64,140,000/=.
Tukio hilo limetokea Novemba 30 -2015 majira ya saa12 jioni katika eneo la custom – mpakani tunduma, , wilaya ya...