News alert: mtu mmoja adakwa na vipande 21 vya meno ya tembo mkoani singida leo
Jeshi la polisi mkoani SINGIDA limekamata vipande 21 vya meno ya Tembo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 43. Nyara hizo za serikali zimekamatwa katika kijiji cha Mwamagembe wilayani Manyoni zikisafirishwa kwenda Itigi, mkoani Singida. Mtu mmoja George James amekamatwa kwa tuhuma za kukutwa na meno hayo ya tembo yakiwa yamehifadhiwa katika mabegi mawili ya kusafiria. Mtuhumiwa huyo alikamatwa katika kizuizi cha idara ya maliasili kilichoko katika kijiji Ukimbu, kata ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziADAKWA NA VIPANDE 28 VYA MENO YA TEMBO
Na John Gagarini, Kibaha
MKAZI wa Ruaha mkoani Morogoro Sibeteli (34) anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za kukutwa na vipande 28 vya meno ya tembo ambavyo ni nyara za serikali.
Mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa ameyahifadhi meno hayo ndani ya gari aina ya Toyota Mark II yenye namba za usajili T 129 ARH.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kaimu kamanda wa polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi (ACP) Steven Kiango alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 22 mwaka huu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYlv9Z3nXF3jwBvVRZTIeDXsbZR27HwEmr2VG64XQCtosSAHVNaI-mOkEM5ZxWRHLfrr4bzgmBRHqjwdeLHsx36o/unnamed1.jpg?width=650)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-chaPuUbmfNw/U3RZ9DrmYEI/AAAAAAAFhxg/RMJ66Jk1TZg/s72-c/unnamed+(1).jpg)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/P2Q6K2rcr9Gqs-WrH5kdyp2bgwGSP3whlExan0sBHga4Q8lVEw0nlgWsi5AHCHN1jkTUkEB9GP3adRczhodPM0zxI8i6A84d/MENOYATEMBO.jpg?width=650)
ADAKWA NA MENO 21 YA TEMBO YENYE THAMANI YA MIL 43 SINGIDA
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Akamatwa na vipande 21 vya meno ya tembo
JESHI la Polisi limemkamata mtu mmoja mkazi wa Mwamagembe, Itigi wilayani Manyoni, Singida, George James (30) na vipande 21 vya meno ya tembo akiwa njiani kuvisafirisha. Kamanda wa Polisi mkoani humo (SACP)...
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Mbaroni kwa vipande 6 vya meno ya tembo
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya, mkoani Mara, linamshikilia Bahati Hunga (39) mkazi wa Mtaa wa Msati kwa tuhuma za kukutwa na meno ya tembo vipande 6...
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Matatani kwa vipande 28 vya meno ya tembo
JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Anania Sibeteli (34) kwa tuhuma za kukutwa na vipande 28 vya meno ya tembo kinyume cha sheria. Mtuhumiwa huyo mkazi wa Ruaha, mkoani...
11 years ago
Michuzi12 Mar
polisi mkoani katavi wakamata mtu akiwa na meno ya tembo na gobole
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-VnfUDN3fm5A/VBGbgleVMJI/AAAAAAAAt_w/EVA-HV6KiCQ/s72-c/IMG-20140911-WA0037.jpg)
NEWZ ALERT:AJALI NYINGINE SINGIDA,YADAIWA MTU MMOJA AMEPOTEZA UHAI.
![](http://1.bp.blogspot.com/-VnfUDN3fm5A/VBGbgleVMJI/AAAAAAAAt_w/EVA-HV6KiCQ/s1600/IMG-20140911-WA0037.jpg)