ADAKWA NA MENO 21 YA TEMBO YENYE THAMANI YA MIL 43 SINGIDA
![](http://api.ning.com:80/files/P2Q6K2rcr9Gqs-WrH5kdyp2bgwGSP3whlExan0sBHga4Q8lVEw0nlgWsi5AHCHN1jkTUkEB9GP3adRczhodPM0zxI8i6A84d/MENOYATEMBO.jpg?width=650)
JESHI la polisi mkoani Singida limekamata vipande 21 vya meno ya Tembo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 43. Nyara hizo za serikali zimekamatwa katika kijiji cha Mwamagembe wilayani Manyoni zikisafirishwa kwenda Itigi, mkoani Singida. Mtu mmoja George James amekamatwa kwa tuhuma za kukutwa na meno hayo ya tembo yakiwa yamehifadhiwa katika mabegi mawili ya kusafiria. Mtuhumiwa huyo alikamatwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi13 Feb
News alert: mtu mmoja adakwa na vipande 21 vya meno ya tembo mkoani singida leo
11 years ago
MichuziADAKWA NA VIPANDE 28 VYA MENO YA TEMBO
Na John Gagarini, Kibaha
MKAZI wa Ruaha mkoani Morogoro Sibeteli (34) anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za kukutwa na vipande 28 vya meno ya tembo ambavyo ni nyara za serikali.
Mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa ameyahifadhi meno hayo ndani ya gari aina ya Toyota Mark II yenye namba za usajili T 129 ARH.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kaimu kamanda wa polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi (ACP) Steven Kiango alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 22 mwaka huu...
10 years ago
Mwananchi27 Dec
Wakamatwa na meno ya tembo vipande 22 vyenye thamani ya Sh157 milioni
11 years ago
Michuzi02 Apr
MAJANGILI 6 YAKAMATWA NA MENO YA TEMBO 53 YENYE JUMLA YA KILO 169.7
![DSCF3201](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/D1aq1CseUyPhb2Z1ckeYtMhkZ85CuNUcBeNdGqzYofwmz1qHeWg7BWBfFtm5nzN4pYXWoxkTU-0eMlHDLg56dNEp0tqC1xweG4xfZjfuea2NNEd65Tuy2YCfc0oUgg=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/04/dscf3201.jpg?w=627&h=470)
![DSCF3202](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/ISVbu0NfmXCfwyOur6j7zDzCkn3MNgqVNQfTz1tR3tsXcfUBS09v02L0mFz-ecSQDv4NpljhXzgRjVVLoyHVn9Y97fsVj9mP3rwju5W0u9amb7mub8yzdLG-DGwW7A=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/04/dscf3202.jpg?w=627&h=470)
![DSCF3199](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/bQLbMLhkmJh50UxhGM33Ddvv8rDlGBoVUuBGgmkGJW6ruxoEtNUdxv0t2__tY8dGDdAZZzCsfykHfF_6BT7dIXzw0p0w797ckgbDQrF4JhoO6MQzdrwpFyTHdKBuQg=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/04/dscf3199.jpg?w=627&h=470)
![DSCF3198](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/vDsKm6qQ1EHSDXa-JeXR80P6-Qb5XNF1aJ3Y_X4uMOxySeV4wlokbGwx_0h2gYN1RlNKQDGa-KEjqgIKfGOXTjwePBYt3vcpCHbDlq3VzNjJu5e_xV7PxEYqh5fULQ=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/04/dscf3198.jpg?w=627&h=470)
Na Pamela Mollel,Arusha Wizara ya maliasili na utalii imetangaza kukamatwa kwa meno 53 ya tembo yenye jumla ya...
10 years ago
Habarileo20 Oct
Wafugaji matatani kwa meno ya tembo ya mil. 200/-
WATU wanne, wafugaji wa jamii ya kimasai wakazi wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, wamekamatwa na Kikosi Maalumu cha Kupambana na Ujangili (KDU) Kanda ya Kaskazini wakiwa na meno manane ya tembo yenye thamani ya karibu Sh milioni 200.
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-A7xxFgzL_7o/UzwqDtYJpKI/AAAAAAAAMBg/Wn9yl9jtFUk/s1600/MAN2.jpg)
MANISPAA YA KINONDONI YANUNUA MAGARI MAPYA 10 YENYE THAMANI YA MIL 779 KWA KUTUMIA VYANZO VYA MAPATO YA NDANI
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-T_RVXN0KJq4/U-phWIIxhCI/AAAAAAAF_Bw/ALdKyqvSrzg/s72-c/FRANK%2B1.jpg)
KAMPUNI YA SEED CO KUZAWADIA WANAFUNZI MADAWATI 100 YENYE THAMANI YA MIL 15 KATIKA SHINDANO LA MASHAMBA DARASA MIKOA YA KANDA YA ZIWA.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYlv9Z3nXF3jwBvVRZTIeDXsbZR27HwEmr2VG64XQCtosSAHVNaI-mOkEM5ZxWRHLfrr4bzgmBRHqjwdeLHsx36o/unnamed1.jpg?width=650)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO