Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafugaji matatani kwa meno ya tembo ya mil. 200/-

WATU wanne, wafugaji wa jamii ya kimasai wakazi wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, wamekamatwa na Kikosi Maalumu cha Kupambana na Ujangili (KDU) Kanda ya Kaskazini wakiwa na meno manane ya tembo yenye thamani ya karibu Sh milioni 200.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Matatani kwa vipande 28 vya meno ya tembo

JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Anania Sibeteli (34) kwa tuhuma za kukutwa na vipande 28 vya meno ya tembo kinyume cha sheria. Mtuhumiwa huyo mkazi wa Ruaha, mkoani...

 

11 years ago

GPL

ADAKWA NA MENO 21 YA TEMBO YENYE THAMANI YA MIL 43 SINGIDA

JESHI la polisi mkoani Singida limekamata vipande 21 vya meno ya Tembo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 43.  Nyara hizo za serikali zimekamatwa katika kijiji cha Mwamagembe  wilayani Manyoni  zikisafirishwa kwenda Itigi, mkoani Singida.  Mtu mmoja  George James amekamatwa kwa tuhuma za kukutwa na meno  hayo ya tembo yakiwa yamehifadhiwa katika mabegi mawili ya kusafiria.  Mtuhumiwa huyo alikamatwa...

 

11 years ago

Michuzi

WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Jeshi la Polisi Kanda Maalum limefanikiwa kukamata vipande zaidi ya ishirini (20) vinavyodhaniwa kuwa ni meno ya Tembo vilivyokuwa vimehifadhiwa nadni ya mfuko maarufu kwa jina la kiroba. Tukio hili lilitokea tarehe 30/04/2014 katika kiwanda cha Nondo Steel Master kilichopo eneo la Mbozi Road (W) kipolisi Chang’ombe (M) kipolisi Temeke baada ya Polisi kupokea taarifa kuwa katika kiwanda hicho kuna mfuko wa kiroba wenye bidhaa hiyo umefichwa. Baada ya taarifa hizo askari kikosi cha Upelelezi...

 

11 years ago

GPL

WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akionesha sehemu ya  vipande 8 vya meno ya tembo vilivyodakwa huko Tabata Kisiwani jijini Dar es salaam
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akikagua gari linalotuhumiwa kutumika.…

 

10 years ago

Habarileo

2 mbaroni kwa kukutwa na meno ya tembo

Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi, Dhahiri KidavashariWATU wawili wametiwa mbaroni na Polisi mjini Mpanda kwa kukutwa na meno ya tembo waliokamatwa yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 157 ndani ya basi la Adventure.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawili mbaroni kwa meno ya tembo

JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia Fatuma Athumani (50) na Joel Antony kwa tuhuma za kukutwa na vipande tisa vya meno ya tembo ndani ya gari lenye namba ya usajili...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni kwa meno ya tembo, gobore

MWANAKIJIJI wa Kilinda, wilayani Mlele, Katavi, Bathromeo Mtongwa (58), amekamatwa na vipande viwili  vya meno ya tembo vyenye uzito wa kilo 15, ambavyo thamani yake ni sh milioni 22. Pamoja...

 

10 years ago

Habarileo

Warundi kortini kwa meno 18 ya tembo

RAIA watatu wa Burundi akiwemo mwanamke wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu mkazi wa Wilaya ya Morogoro, wakikabiliwa na mashitaka matatu ya kuhujumu uchumi baada ya kukamatwa na meno ya tembo 18, na mikia mitano ya twiga, vyote vikiwa na thamani ya Sh milioni 357.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani