Wakamatwa na meno ya tembo vipande 22 vyenye thamani ya Sh157 milioni
>Jeshi la Polisi mkoani Katavi limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na meno ya tembo vipande 22 vyenye uzito wa kilogramu 46 na thamani ya Sh157 milioni  wakati wakiyasafirisha kwa basi kutoka Mpanda kwenda Mkoa wa Kigoma
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
GPLWATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Akamatwa na vipande 21 vya meno ya tembo
JESHI la Polisi limemkamata mtu mmoja mkazi wa Mwamagembe, Itigi wilayani Manyoni, Singida, George James (30) na vipande 21 vya meno ya tembo akiwa njiani kuvisafirisha. Kamanda wa Polisi mkoani humo (SACP)...
11 years ago
MichuziADAKWA NA VIPANDE 28 VYA MENO YA TEMBO
Na John Gagarini, Kibaha
MKAZI wa Ruaha mkoani Morogoro Sibeteli (34) anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za kukutwa na vipande 28 vya meno ya tembo ambavyo ni nyara za serikali.
Mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa ameyahifadhi meno hayo ndani ya gari aina ya Toyota Mark II yenye namba za usajili T 129 ARH.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kaimu kamanda wa polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi (ACP) Steven Kiango alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 22 mwaka huu...
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Matatani kwa vipande 28 vya meno ya tembo
JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Anania Sibeteli (34) kwa tuhuma za kukutwa na vipande 28 vya meno ya tembo kinyume cha sheria. Mtuhumiwa huyo mkazi wa Ruaha, mkoani...
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Mbaroni kwa vipande 6 vya meno ya tembo
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya, mkoani Mara, linamshikilia Bahati Hunga (39) mkazi wa Mtaa wa Msati kwa tuhuma za kukutwa na meno ya tembo vipande 6...
11 years ago
Michuzi13 Feb
News alert: mtu mmoja adakwa na vipande 21 vya meno ya tembo mkoani singida leo
11 years ago
GPLADAKWA NA MENO 21 YA TEMBO YENYE THAMANI YA MIL 43 SINGIDA
5 years ago
MichuziDC KATAMBI AKABIDHIWA VIFAA VYENYE THAMANI YA MILIONI 16 KUPAMBANA NA CORONA
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akipokea vifaa vya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona kutoka kwa Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dodoma, Dk Dickson Chilongani leo. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akizungumza wakati wa hafla ya kupokea vifaa vya kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa Corona vilivyotolewa na Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dodoma Baadhi ya vifaa ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa Corona vilivyotolewa leo na Kanisa la Anglikana...