Msako wanasa watu saba na meno ya tembo
Kikosi cha Kupambana na Ujangili Kanda ya Kati (KDU) kimefanikiwa kukamata vipande 59 vya meno ya tembo vikiwa na uzito wa zaidi ya kilo 200 vyenye thamani ya Sh176.7 milioni sawa na tembo 29.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
GPLWATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
9 years ago
Mtanzania18 Nov
Jela miaka saba kwa kukamatwa na shanga za meno ya Tembo
FARAJA MASINDE NA GODFREY MBANILE (GPC), DAR ES SALAAM
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, imemhukumu kwenda jela miaka saba sambamba na kulipa faini ya Sh milioni 20, Feng Quan (38), raia wa China, baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na goroli 767 za shanga zilizotengenezwa kwa meno ya tembo yenye thamani ya Sh milioni 5.8 ambayo ni nyara za serikali.
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi, John Msafiri, baada ya mtuhumiwa kukutwa na hatia ya kutumia nyara hizo zenye...
11 years ago
BBCSwahili11 Feb
Msako dhidi ya Mafia wanasa 26
10 years ago
Habarileo31 Aug
Msako wanasa bunduki, viroba vya konyagi
JESHI la Polisi mkoani Kagera limekamata bunduki moja ya kivita ikiwa imefukiwa ardhini pamoja na viroba bandia vya pombe aina ya konyagi katoni 20.
10 years ago
MichuziBREAKING NEWZZZZ: JESHI LA POLISI MKOANI GEITA LAKAMATA BUNDUKI SABA ZILIZOPORWA KITUO CHA POLISI BUKOMBE, WATU WAWILI MBARONI NA MSAKO MKALI UNAENDELEA
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Apr
Wanaswa na meno ya tembo
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
WATU watano wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kukutwa na vipande vinane vya meno ya tembo, vikiwa vimevificha kwenye dumu la mafuta.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul, alisema tukio hilo lilitokea jana, saa 2:30 usiku katika eneo la Daraja Mbili, barabara ya kwenda Mikumi wilayani Kilosa.
Alisema watuhumiwa hao walikamatwa na polisi kwa kushirikiana na askari wa wanyamapori, waliokuwa kwenye doria.
Paul alisema watu hao walichukua...
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Wanaswa na meno ya tembo 53
WATU sita wanaodhaniwa kuwa ni majangili wamekamatwa na meno ya tembo 53 yenye kilo 169.7, wakiwa na silaha aina ya SMG yenye magazine tatu kwenye Kijiji cha Kiomboi, wilayani Manyoni,...