Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jela miaka saba kwa kukamatwa na shanga za meno ya Tembo

FARAJA MASINDE NA GODFREY MBANILE (GPC), DAR ES SALAAM

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, imemhukumu kwenda jela miaka saba sambamba na kulipa faini ya Sh milioni 20, Feng Quan (38), raia wa China, baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na goroli 767 za shanga zilizotengenezwa kwa meno ya tembo yenye thamani ya Sh milioni 5.8 ambayo ni nyara za serikali.

Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi, John Msafiri, baada ya mtuhumiwa kukutwa na hatia ya kutumia nyara hizo zenye...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Watupwa jela miaka 20 kwa meno ya tembo

WAKAZI wawili wa Dar es Salaam, wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela au kulipa faini ya Sh milioni tano kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na meno ya tembo.

 

11 years ago

Habarileo

Wachina jela miaka 5 kwa meno ya tembo

RAIA wawili wa China wamehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini ya Sh milioni moja baada ya kukutwa wakisafirisha meno ya tembo. Qui Wu (30) na Zou Zhihong (51) ambao walikutwa na meno ya tembo, zilizotengenezwa kama bangili na kinyago.

 

10 years ago

Mwananchi

Meno ya tembo yawatupa wawili jela miaka 20

Mahakama ya Wilaya ya Ilala imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela au kulipa faini ya Sh5 milioni kila mmoja watu wawili baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na meno ya tembo kinyume cha sheria.

 

11 years ago

Mwananchi

Msako wanasa watu saba na meno ya tembo

Kikosi cha Kupambana na Ujangili Kanda ya Kati (KDU) kimefanikiwa kukamata vipande 59 vya meno ya tembo vikiwa na uzito wa zaidi ya kilo 200 vyenye thamani ya Sh176.7 milioni sawa na tembo 29.

 

11 years ago

Michuzi

WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Jeshi la Polisi Kanda Maalum limefanikiwa kukamata vipande zaidi ya ishirini (20) vinavyodhaniwa kuwa ni meno ya Tembo vilivyokuwa vimehifadhiwa nadni ya mfuko maarufu kwa jina la kiroba. Tukio hili lilitokea tarehe 30/04/2014 katika kiwanda cha Nondo Steel Master kilichopo eneo la Mbozi Road (W) kipolisi Chang’ombe (M) kipolisi Temeke baada ya Polisi kupokea taarifa kuwa katika kiwanda hicho kuna mfuko wa kiroba wenye bidhaa hiyo umefichwa. Baada ya taarifa hizo askari kikosi cha Upelelezi...

 

11 years ago

GPL

WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akionesha sehemu ya  vipande 8 vya meno ya tembo vilivyodakwa huko Tabata Kisiwani jijini Dar es salaam
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akikagua gari linalotuhumiwa kutumika.…

 

10 years ago

Mwananchi

Wasambaza picha za ngono kufungwa miaka saba jela

>Leo, Serikali itawasilisha bungeni muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao wa mwaka 2015 kwa hati ya dharura unaoorodhesha adhabu mbalimbali, ikiwamo ya faini ya Sh50 milioni au kifungo kisichopungua miaka saba kwa mtu atakayebainika kusambaza picha za ngono mtandaoni.

 

10 years ago

GPL

WAKILI DAMAS NDUMBARO ATUPWA JELA YA SOKA MIAKA SABA

Wakili Damas Ndumbaro. Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la soka nchi TFF, imemfungia wakili Damas Ndumbaro kujihusisha na mambo ya soka kwa muda wa miaka saba na faini ya kiasi cha pesa. Ndumbaro ambaye aliingia katika mzozo mkubwa na rais wa TFF, Ndugu, Jamal Malinzi wiki iliyopita baada ya TFF kuagiza kila klabu kukatwa asilimia tano za mapato yatokanayo na udhamini wa klabu hizo wanaoupata kutoka kwa Vodacom, wadhamini wakuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani