Meno ya tembo yawatupa wawili jela miaka 20
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela au kulipa faini ya Sh5 milioni kila mmoja watu wawili baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na meno ya tembo kinyume cha sheria.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo15 Nov
Watupwa jela miaka 20 kwa meno ya tembo
WAKAZI wawili wa Dar es Salaam, wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela au kulipa faini ya Sh milioni tano kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na meno ya tembo.
11 years ago
Habarileo12 Mar
Wachina jela miaka 5 kwa meno ya tembo
RAIA wawili wa China wamehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini ya Sh milioni moja baada ya kukutwa wakisafirisha meno ya tembo. Qui Wu (30) na Zou Zhihong (51) ambao walikutwa na meno ya tembo, zilizotengenezwa kama bangili na kinyago.
9 years ago
Mtanzania18 Nov
Jela miaka saba kwa kukamatwa na shanga za meno ya Tembo
FARAJA MASINDE NA GODFREY MBANILE (GPC), DAR ES SALAAM
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, imemhukumu kwenda jela miaka saba sambamba na kulipa faini ya Sh milioni 20, Feng Quan (38), raia wa China, baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na goroli 767 za shanga zilizotengenezwa kwa meno ya tembo yenye thamani ya Sh milioni 5.8 ambayo ni nyara za serikali.
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi, John Msafiri, baada ya mtuhumiwa kukutwa na hatia ya kutumia nyara hizo zenye...
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
Wawili mbaroni kwa meno ya tembo
JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia Fatuma Athumani (50) na Joel Antony kwa tuhuma za kukutwa na vipande tisa vya meno ya tembo ndani ya gari lenye namba ya usajili...
11 years ago
GPL
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
Michuzi.jpg)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
Michuzi
news alert: wawili wahukumiwa faini shilingi milioni 15 ama jela miaka 15 kwa ujenzi wa jengo la ghorofa 18 jijini dar es salaam

Washtakiwa hao ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Makumba Kimweri na aliyekuwa Msanifu Mkuu wake Richard Maliyaga (55) wote wakazi wa jijini Dar es Salaam.
Akisoma hukumu hiyo Hakimu Mkazi Sundi...
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Apr
Wanaswa na meno ya tembo
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
WATU watano wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kukutwa na vipande vinane vya meno ya tembo, vikiwa vimevificha kwenye dumu la mafuta.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul, alisema tukio hilo lilitokea jana, saa 2:30 usiku katika eneo la Daraja Mbili, barabara ya kwenda Mikumi wilayani Kilosa.
Alisema watuhumiwa hao walikamatwa na polisi kwa kushirikiana na askari wa wanyamapori, waliokuwa kwenye doria.
Paul alisema watu hao walichukua...