Wanaswa na meno ya tembo
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
WATU watano wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kukutwa na vipande vinane vya meno ya tembo, vikiwa vimevificha kwenye dumu la mafuta.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul, alisema tukio hilo lilitokea jana, saa 2:30 usiku katika eneo la Daraja Mbili, barabara ya kwenda Mikumi wilayani Kilosa.
Alisema watuhumiwa hao walikamatwa na polisi kwa kushirikiana na askari wa wanyamapori, waliokuwa kwenye doria.
Paul alisema watu hao walichukua...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Wanaswa na meno ya tembo 53
WATU sita wanaodhaniwa kuwa ni majangili wamekamatwa na meno ya tembo 53 yenye kilo 169.7, wakiwa na silaha aina ya SMG yenye magazine tatu kwenye Kijiji cha Kiomboi, wilayani Manyoni,...
11 years ago
Michuzi.jpg)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
GPL
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
10 years ago
Mtanzania13 Mar
Waganga wanaswa na meno, nywele za albino
NA SHEILA KATIKULA, MWANZA
JESHI la Polisi mkoani Mwanza limewakamata waganga wa kienyeji 55 wakiwa na viungo vya binadamu vikiwamo meno na nywele vinavyodaiwa kuwa ni vya watu wenye albino.
Vitu vingine walivyokutwa navyo ni ngozi ya simba, nyumbu, mamba, vibuyu, njuga, vioo, shanga na debe tatu za bangi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola, alisema waganga hao walikamatwa katika wilaya za Mkoa wa Mwanza kwenye msako ulioanza...
11 years ago
Mwananchi23 Aug
‘Hatuuzi tena meno ya tembo’
10 years ago
Mwananchi08 Nov
Madudu zaidi meno ya tembo
11 years ago
Habarileo12 Jan
Meno zaidi ya tembo yakamatwa
JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa, usiku wa kuamkia jana lilikamata meno matano ya tembo ambayo thamani yake haikuweza kujulikana mara moja kutoka kwa wafanyabiashara watatu wakazi wa Mbezi, Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Ni meno ya tembo au pembe za ndovu?