Ni meno ya tembo au pembe za ndovu?
Yapo makosa mengi tunayosoma katika magazeti. Makosa ninayoyazungumzia katika makala zangu ni ya lugha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi13 Feb
JK APENDEKEZA KUPIGWA MARUFUKU YA BIASHARA YA MENO YA NDOVU NA PEMBE ZA FARU DUNIANI
Rais Jakaya Kikwete akiongea kuhusu mbinu za kukabiliana na ujangili na biashara haramu ya meno ya tembo na pembe za faru, ambapo katika mkutano maalumu wa tatizo hilo leo huko Lancaster House jijini London, Uingereza leo, mependekeza kupigwa marufuku kwa biashara hiyo ulimwenguni kote ili kuua biashara hiyo.
9 years ago
Bongo509 Oct
Mwanamke wa Kichina maarufu kama ‘Malkia wa Pembe za Ndovu’ akamatwa nchini akisafirisha pembe zenye thamani ya £1.62m
Mwanamke wa China anayedaiwa kuongoza genge kubwa zaidi la usafirishaji pembe za ndovu barani Afrika amekamatwa nchini. Akipewa jina la utani “Ivory Queen”, Yang Feng Glan anadaiwa kusafirisha pembe za ndovu 706 kutoka nchini kwenda Mashariki ya mbali. Glan, 66, anadaiwa kuwa na ukaribu na majangili wa Afrika Mashariki na walanguzi wa China. Anadaiwa pia […]
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-chaPuUbmfNw/U3RZ9DrmYEI/AAAAAAAFhxg/RMJ66Jk1TZg/s72-c/unnamed+(1).jpg)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
Jeshi la Polisi Kanda Maalum limefanikiwa kukamata vipande zaidi ya ishirini (20) vinavyodhaniwa kuwa ni meno ya Tembo vilivyokuwa vimehifadhiwa nadni ya mfuko maarufu kwa jina la kiroba.
Tukio hili lilitokea tarehe 30/04/2014 katika kiwanda cha Nondo Steel Master kilichopo eneo la Mbozi Road (W) kipolisi Chang’ombe (M) kipolisi Temeke baada ya Polisi kupokea taarifa kuwa katika kiwanda hicho kuna mfuko wa kiroba wenye bidhaa hiyo umefichwa. Baada ya taarifa hizo askari kikosi cha Upelelezi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYlv9Z3nXF3jwBvVRZTIeDXsbZR27HwEmr2VG64XQCtosSAHVNaI-mOkEM5ZxWRHLfrr4bzgmBRHqjwdeLHsx36o/unnamed1.jpg?width=650)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akionesha sehemu ya vipande 8 vya meno ya tembo vilivyodakwa huko Tabata Kisiwani jijini Dar es salaam
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akikagua gari linalotuhumiwa kutumika.…
11 years ago
BBCSwahili29 Jan
Wakamatwa na pembe za Ndovu Togo
Polisi nchini Togo wamewakamata watu watatu baada ya kuwanasa na tani mbili za pembe za Ndovu wakizafirisha kwenda Vietnam
9 years ago
BBCSwahili19 Sep
Pembe za ndovu: TZ yaishtaki Malawi
Tanzania imekwenda mahakamani kuisimamisha Malawi isiteketeza pembe za ndovu zilizonaswa huko
10 years ago
BBCSwahili06 Nov
TZ yakanusha biashara ya pembe za ndovu
Tanzania imeshtushwa na ripoti inayoelezea biashara haramu ya meno ya tembo kati ya baadhi ya viongozi wa nchi hiyo na China
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Ufaransa kuteketeza pembe za Ndovu
Tani tatu za pembe za Ndovu zitateketezwa hii leo Nchini Ufansa ili kuonyesha kujitolea kwa serikali ya taifa hilo katika vita dhidi ya biashara hiyo haramu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania