Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke wa Kichina maarufu kama ‘Malkia wa Pembe za Ndovu’ akamatwa nchini akisafirisha pembe zenye thamani ya £1.62m

Mwanamke wa China anayedaiwa kuongoza genge kubwa zaidi la usafirishaji pembe za ndovu barani Afrika amekamatwa nchini. Akipewa jina la utani “Ivory Queen”, Yang Feng Glan anadaiwa kusafirisha pembe za ndovu 706 kutoka nchini kwenda Mashariki ya mbali. Glan, 66, anadaiwa kuwa na ukaribu na majangili wa Afrika Mashariki na walanguzi wa China. Anadaiwa pia […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Malkia wa pembe za ndovu kusalia korokoroni TZ

Mwanamke mmoja raia wa China aliyekamatwa kwa makosa ya ulanguzi wa pembe za ndovu zenye thamani ya dola milioni mbili u nusu amenyimwa dhamana

 

10 years ago

StarTV

Mtuhumiwa wa ujangili wa pembe za Ndovu akamatwa.

Polisi wa kimataifa , interpol tawi la Tanzania wamemkamata mfanya biashara maarufu raia wa Kenya kwa tuhuma za kujihusisha na ujangili na uhalifu uliovuka mipaka ,hususan mauaji ya tembo .

mtuhumiwa huyo Mohamed Ally Feisal Amekamatwa mjini Dar-Es-Salaam baada ya kusakwa kwa kipindi kirefu kwa makosa hayo ya kimataifa kutoka Dar Regina Mziwanda anaarifu zaidi.

Akitbibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo Bwana Diwani Athumani kutoka kamisheni ya Kurugenzi ya makos aya jinai amesema mtuhumiwa...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA CHINA NCHINI APONGEZA MSIMAMO WA TANZANIA DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA PEMBE ZA NDOVU

Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Lu Youqing alipofika Wizarani tarehe 10 Novemba, 2014 kwa mazungumzo. Katika mazungumzo yao Mhe. Lu aliishukuru na kuipongeza Serikali ya Tanzania kwa msimamo wake kuhusu tuhuma dhidi yake na China kuhusu biashara haramu ya pembe za ndovu na pia alisifu   jitihada za Serikali ya Tanzania katika kupambana na biashara hiyo na kusema China inaunga mkono jitihada hizo na ipo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Pembe za ndovu: TZ yaishtaki Malawi

Tanzania imekwenda mahakamani kuisimamisha Malawi isiteketeza pembe za ndovu zilizonaswa huko

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kortini kwa pembe za ndovu

WAKAZI wawili wa Tabata, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa makosa ya kukutwa na meno ya tembo ya sh. milioni 275.5 bila kibali. Mbele...

 

11 years ago

Mwananchi

Ni meno ya tembo au pembe za ndovu?

Yapo makosa mengi tunayosoma katika magazeti. Makosa ninayoyazungumzia katika makala zangu ni ya lugha.

 

11 years ago

GPL

WATUHUMIWA PEMBE ZA NDOVU KIZIMBANI

VIJANA wawili Dominick Kombe (36) na Hebert Macheka (30) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa kesi ya kukamatwa na vipande 28 vya pembe za ndovu vyenye thamani ya shilingi milioni 275. Watuhumiwa hao walikamatwa Juni 5 mwaka huu eneo la Tabata, Kisukulu jijini Dar wakiwa na nyara hizo za serikali ambazo hazikuwa na kibali chochote kinyume na sheria. Kesi hiyo inayosikilizwa na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ufaransa kuteketeza pembe za Ndovu

Tani tatu za pembe za Ndovu zitateketezwa hii leo Nchini Ufansa ili kuonyesha kujitolea kwa serikali ya taifa hilo katika vita dhidi ya biashara hiyo haramu.

 

10 years ago

BBCSwahili

TZ yakanusha biashara ya pembe za ndovu

Tanzania imeshtushwa na ripoti inayoelezea biashara haramu ya meno ya tembo kati ya baadhi ya viongozi wa nchi hiyo na China

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani