Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATUHUMIWA PEMBE ZA NDOVU KIZIMBANI

VIJANA wawili Dominick Kombe (36) na Hebert Macheka (30) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa kesi ya kukamatwa na vipande 28 vya pembe za ndovu vyenye thamani ya shilingi milioni 275. Watuhumiwa hao walikamatwa Juni 5 mwaka huu eneo la Tabata, Kisukulu jijini Dar wakiwa na nyara hizo za serikali ambazo hazikuwa na kibali chochote kinyume na sheria. Kesi hiyo inayosikilizwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kizimbani kwa pembe za ndovu za Sh5 bilioni

Wafanyabiashara wawili wakazi wa Dar es Salaam wamepandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Frank Moshi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana na kusomewa mashtaka matatu ya kufanya biashara ya pembe za ndovu zenye thamani ya zaidi ya Sh5.4 bilioni.

 

10 years ago

Vijimambo

POLISI WAKAMATA BUNDUKI AINA YA SMG NA JUMLA YA RISASI 59,PEMBE ZA NDOVU PAMOJA NA WATUHUMIWA KATIKA MATUKIO TOFAUTI JIJINI DAR


Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam (DCP), Simon Sirro Sirro akiwaonesha baahdhi ya waandishi wa habali hawapo pichani pembe za Ndovu zilizo kamatwa maeneo ya Kimara Suka katika oparesheni ukaguzi wa magari.Picha na Emmanuel Massaka.
Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam (DCP), Simon Sirro akiwaonesha baadhi ya waandishi wa habari (hawapo pichan) Bunduki aina ya (SMG) iliyofutwa namba zake ikiwa na risasi 10.
Naibu Kamishna wa Jeshi la...

 

9 years ago

Bongo5

Mwanamke wa Kichina maarufu kama ‘Malkia wa Pembe za Ndovu’ akamatwa nchini akisafirisha pembe zenye thamani ya £1.62m

Mwanamke wa China anayedaiwa kuongoza genge kubwa zaidi la usafirishaji pembe za ndovu barani Afrika amekamatwa nchini. Akipewa jina la utani “Ivory Queen”, Yang Feng Glan anadaiwa kusafirisha pembe za ndovu 706 kutoka nchini kwenda Mashariki ya mbali. Glan, 66, anadaiwa kuwa na ukaribu na majangili wa Afrika Mashariki na walanguzi wa China. Anadaiwa pia […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kortini kwa pembe za ndovu

WAKAZI wawili wa Tabata, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa makosa ya kukutwa na meno ya tembo ya sh. milioni 275.5 bila kibali. Mbele...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wakamatwa na pembe za Ndovu Togo

Polisi nchini Togo wamewakamata watu watatu baada ya kuwanasa na tani mbili za pembe za Ndovu wakizafirisha kwenda Vietnam

 

9 years ago

Mtanzania

JK: Fungeni masoko ya pembe za ndovu

9-IMG_3156Na Mwandishi Maalumu, New York

 

RAIS  Jakaya Kikwete, ametoa changamoto kwa wabunge wa Bunge la Marekani kufunga masoko ya pembe za ndovu na faru duniani, kama njia ya kukomesha ujangili dhidi ya wanyamapori katika nchi za Afrika.

Rais Kikwete, amewataka wabunge hao kuzisaidia nchi za Afrika kifedha ili kukomesha ujangili huo, kwa sababu wabunge hao tayari wameitangazia dunia kuwa wanazo fedha za kutosha kwa ajili ya kukabiliana na ujangili.

Rais Kikwete alitoa changamoto hiyo juzi  usiku,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ufaransa kuteketeza pembe za Ndovu

Tani tatu za pembe za Ndovu zitateketezwa hii leo Nchini Ufansa ili kuonyesha kujitolea kwa serikali ya taifa hilo katika vita dhidi ya biashara hiyo haramu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Pembe za ndovu: TZ yaishtaki Malawi

Tanzania imekwenda mahakamani kuisimamisha Malawi isiteketeza pembe za ndovu zilizonaswa huko

 

10 years ago

BBCSwahili

Pembe za Ndovu zanaswa Thailand

Wakuu wa forodha nchini Thailand wamenasa shehena kubwa zaidi ya pembe za ndovu kuwahi kunaswa katika historia ya taifa hilo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani