Kizimbani kwa pembe za ndovu za Sh5 bilioni
Wafanyabiashara wawili wakazi wa Dar es Salaam wamepandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Frank Moshi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana na kusomewa mashtaka matatu ya kufanya biashara ya pembe za ndovu zenye thamani ya zaidi ya Sh5.4 bilioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bQfOv76fsJd9w3C1Zd0w1gd-byvnAkboPRX1nbGzdKe*YRG47q8PiUUyqY9GT01D5f-5bMfeyGwmS0npQQKRm-ZXP2xZUP24/breakingnews.gif)
WATUHUMIWA PEMBE ZA NDOVU KIZIMBANI
VIJANA wawili Dominick Kombe (36) na Hebert Macheka (30) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa kesi ya kukamatwa na vipande 28 vya pembe za ndovu vyenye thamani ya shilingi milioni 275. Watuhumiwa hao walikamatwa Juni 5 mwaka huu eneo la Tabata, Kisukulu jijini Dar wakiwa na nyara hizo za serikali ambazo hazikuwa na kibali chochote kinyume na sheria. Kesi hiyo inayosikilizwa na...
9 years ago
Bongo509 Oct
Mwanamke wa Kichina maarufu kama ‘Malkia wa Pembe za Ndovu’ akamatwa nchini akisafirisha pembe zenye thamani ya £1.62m
Mwanamke wa China anayedaiwa kuongoza genge kubwa zaidi la usafirishaji pembe za ndovu barani Afrika amekamatwa nchini. Akipewa jina la utani “Ivory Queen”, Yang Feng Glan anadaiwa kusafirisha pembe za ndovu 706 kutoka nchini kwenda Mashariki ya mbali. Glan, 66, anadaiwa kuwa na ukaribu na majangili wa Afrika Mashariki na walanguzi wa China. Anadaiwa pia […]
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Kortini kwa pembe za ndovu
WAKAZI wawili wa Tabata, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa makosa ya kukutwa na meno ya tembo ya sh. milioni 275.5 bila kibali. Mbele...
9 years ago
Mwananchi14 Aug
Kwa nini pembe za ndovu zinapita kirahisi JNIA?
Katika tovuti ya The Citizen toleo la jana kulikuwa na habari kuhusu wanajeshi wawili wanaofanya kazi ya ukaguzi wa mizigo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), kuhusika na utoroshaji wa pembe za ndovu zenye uzito wa kilo 262 na thamani ya Sh826 milioni.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-TBplvLPVm0M/VAgMenYcRhI/AAAAAAAGdXI/MHkMfpebRJ8/s72-c/1.jpg)
MMOJA NA WENZAKE WAWILI MBARONI KWA KUKUTWA NA PEMBE ZA NDOVU MKOANI DODOMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-TBplvLPVm0M/VAgMenYcRhI/AAAAAAAGdXI/MHkMfpebRJ8/s1600/1.jpg)
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kw ajina la DOUGLAS S/O MNYEKE, Miaka 46, Mkaguru Mukulima na Mkazi wa kijiji cha Silwa Kata ya Pandambili, Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma akiwa na pembe za ndovu vipande vitatu vyenye uzito wa jumla ya kilo 12 na gramu 30 vyenye thamani ya Tshs. 11, 162, 250/= vikiwa nyumbani kwake.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME –...
9 years ago
Mwananchi25 Nov
Wachina kizimbani kwa pembe za faru
Raia wanne kutoka China, jana walipandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya kujibu mashtaka matatu ya uhujumu uchumi likiwamo la kukutwa na pembe kumi na moja za faru zenye thamani ya Sh 902.8milioni.Â
10 years ago
BBCSwahili06 Nov
TZ yakanusha biashara ya pembe za ndovu
Tanzania imeshtushwa na ripoti inayoelezea biashara haramu ya meno ya tembo kati ya baadhi ya viongozi wa nchi hiyo na China
9 years ago
BBCSwahili19 Sep
Pembe za ndovu: TZ yaishtaki Malawi
Tanzania imekwenda mahakamani kuisimamisha Malawi isiteketeza pembe za ndovu zilizonaswa huko
10 years ago
BBCSwahili20 Apr
Pembe za Ndovu zanaswa Thailand
Wakuu wa forodha nchini Thailand wamenasa shehena kubwa zaidi ya pembe za ndovu kuwahi kunaswa katika historia ya taifa hilo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania