Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtuhumiwa wa ujangili wa pembe za Ndovu akamatwa.

Polisi wa kimataifa , interpol tawi la Tanzania wamemkamata mfanya biashara maarufu raia wa Kenya kwa tuhuma za kujihusisha na ujangili na uhalifu uliovuka mipaka ,hususan mauaji ya tembo .

mtuhumiwa huyo Mohamed Ally Feisal Amekamatwa mjini Dar-Es-Salaam baada ya kusakwa kwa kipindi kirefu kwa makosa hayo ya kimataifa kutoka Dar Regina Mziwanda anaarifu zaidi.

Akitbibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo Bwana Diwani Athumani kutoka kamisheni ya Kurugenzi ya makos aya jinai amesema mtuhumiwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mwanamke wa Kichina maarufu kama ‘Malkia wa Pembe za Ndovu’ akamatwa nchini akisafirisha pembe zenye thamani ya £1.62m

Mwanamke wa China anayedaiwa kuongoza genge kubwa zaidi la usafirishaji pembe za ndovu barani Afrika amekamatwa nchini. Akipewa jina la utani “Ivory Queen”, Yang Feng Glan anadaiwa kusafirisha pembe za ndovu 706 kutoka nchini kwenda Mashariki ya mbali. Glan, 66, anadaiwa kuwa na ukaribu na majangili wa Afrika Mashariki na walanguzi wa China. Anadaiwa pia […]

 

10 years ago

Vijimambo

Mtuhumiwa wa ujangili akamatwa Tanzania

Feisal Mohamed Ally
Polisi wa kimataifa , interpol tawi la Tanzania wamemkamata mfanya biashara maarufu raia wa Kenya kwa tuhuma za kujihusisha na ujangili na uhalifu uliovuka mipaka ,hususan mauaji ya tembo .

mtuhumiwa huyo Mohamed Ally Feisal Amekamatwa mjini Dar-Es-Salaam baada ya kusakwa kwa kipindi kirefu kwa makosa hayo ya kimataifa kutoka Dar Regina Mziwanda anaarifu zaidi.

Akithibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo Bwana Diwani Athumani kutoka kamisheni ya Kurugenzi ya makosa ya jinai...

 

11 years ago

Mwananchi

Ni meno ya tembo au pembe za ndovu?

Yapo makosa mengi tunayosoma katika magazeti. Makosa ninayoyazungumzia katika makala zangu ni ya lugha.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wakamatwa na pembe za Ndovu Togo

Polisi nchini Togo wamewakamata watu watatu baada ya kuwanasa na tani mbili za pembe za Ndovu wakizafirisha kwenda Vietnam

 

9 years ago

Mtanzania

JK: Fungeni masoko ya pembe za ndovu

9-IMG_3156Na Mwandishi Maalumu, New York

 

RAIS  Jakaya Kikwete, ametoa changamoto kwa wabunge wa Bunge la Marekani kufunga masoko ya pembe za ndovu na faru duniani, kama njia ya kukomesha ujangili dhidi ya wanyamapori katika nchi za Afrika.

Rais Kikwete, amewataka wabunge hao kuzisaidia nchi za Afrika kifedha ili kukomesha ujangili huo, kwa sababu wabunge hao tayari wameitangazia dunia kuwa wanazo fedha za kutosha kwa ajili ya kukabiliana na ujangili.

Rais Kikwete alitoa changamoto hiyo juzi  usiku,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ufaransa kuteketeza pembe za Ndovu

Tani tatu za pembe za Ndovu zitateketezwa hii leo Nchini Ufansa ili kuonyesha kujitolea kwa serikali ya taifa hilo katika vita dhidi ya biashara hiyo haramu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Pembe za Ndovu zanaswa Thailand

Wakuu wa forodha nchini Thailand wamenasa shehena kubwa zaidi ya pembe za ndovu kuwahi kunaswa katika historia ya taifa hilo

 

10 years ago

BBCSwahili

TZ yakanusha biashara ya pembe za ndovu

Tanzania imeshtushwa na ripoti inayoelezea biashara haramu ya meno ya tembo kati ya baadhi ya viongozi wa nchi hiyo na China

 

11 years ago

BBCSwahili

Pembe za ndovu zanaswa Mombasa

Shehena kubwa ya pembe za ndovu zanaswa Mombasa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani