Madudu zaidi meno ya tembo
Wakati maofisa wa Serikali za Tanzania na China wakipuuza tuhuma zinazohusisha ziara ya Rais wa China, Xi Jinping na utoroshaji wa meno ya tembo, ripoti hiyo imeanika madudu mengi ikionyesha jinsi nyara hizo zinavyotoroshwa nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo12 Jan
Meno zaidi ya tembo yakamatwa
JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa, usiku wa kuamkia jana lilikamata meno matano ya tembo ambayo thamani yake haikuweza kujulikana mara moja kutoka kwa wafanyabiashara watatu wakazi wa Mbezi, Dar es Salaam.
11 years ago
Michuzi.jpg)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
GPL
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Apr
Wanaswa na meno ya tembo
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
WATU watano wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kukutwa na vipande vinane vya meno ya tembo, vikiwa vimevificha kwenye dumu la mafuta.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul, alisema tukio hilo lilitokea jana, saa 2:30 usiku katika eneo la Daraja Mbili, barabara ya kwenda Mikumi wilayani Kilosa.
Alisema watuhumiwa hao walikamatwa na polisi kwa kushirikiana na askari wa wanyamapori, waliokuwa kwenye doria.
Paul alisema watu hao walichukua...
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Wanaswa na meno ya tembo 53
WATU sita wanaodhaniwa kuwa ni majangili wamekamatwa na meno ya tembo 53 yenye kilo 169.7, wakiwa na silaha aina ya SMG yenye magazine tatu kwenye Kijiji cha Kiomboi, wilayani Manyoni,...
11 years ago
Mwananchi23 Aug
‘Hatuuzi tena meno ya tembo’
10 years ago
Mwananchi08 Nov
Kashfa meno ya tembo yatingisha
10 years ago
Mtanzania21 May
Waliokutwa na meno ya tembo wabanwa
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WATUHUMIWA sita waliokamatwa na kontena la meno ya tembo yenye thamani zaidi ya Sh bilioni saba visiwani Zanzibar, wamesomewa mashtaka matatu mapya ya uhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Washtakiwa walisomewa mashtaka hayo jana na Wakili wa Serikali, Faraja Nchimbi, mbele ya Hakimu Mkazi, Shahidi Huruma.
Nchimbi aliwataja washtakiwa hao kuwa ni Mohammed Mussa (45), Mohammed Hajji Udole (42), Juma Makoma (43), Mohamed Hija au Mashaka, Omary Ally...