Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Hatuuzi tena meno ya tembo’

Serikali imefuta mpango wake wa kuuza shehena hazina ya meno ya tembo yenye thamani dola milioni 6o huku, ikipunguza vibali vya uwindaji wa Tembo nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Jeshi la Polisi Kanda Maalum limefanikiwa kukamata vipande zaidi ya ishirini (20) vinavyodhaniwa kuwa ni meno ya Tembo vilivyokuwa vimehifadhiwa nadni ya mfuko maarufu kwa jina la kiroba. Tukio hili lilitokea tarehe 30/04/2014 katika kiwanda cha Nondo Steel Master kilichopo eneo la Mbozi Road (W) kipolisi Chang’ombe (M) kipolisi Temeke baada ya Polisi kupokea taarifa kuwa katika kiwanda hicho kuna mfuko wa kiroba wenye bidhaa hiyo umefichwa. Baada ya taarifa hizo askari kikosi cha Upelelezi...

 

11 years ago

GPL

WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akionesha sehemu ya  vipande 8 vya meno ya tembo vilivyodakwa huko Tabata Kisiwani jijini Dar es salaam
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akikagua gari linalotuhumiwa kutumika.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaswa na meno ya tembo 53

WATU sita wanaodhaniwa kuwa ni majangili wamekamatwa na meno ya tembo 53 yenye kilo 169.7, wakiwa na silaha aina ya SMG yenye magazine tatu kwenye Kijiji cha Kiomboi, wilayani Manyoni,...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanaswa na meno ya tembo


NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
WATU watano wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma  ya  kukutwa na vipande vinane  vya  meno  ya  tembo, vikiwa vimevificha kwenye dumu la  mafuta.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul, alisema tukio  hilo lilitokea jana, saa 2:30 usiku katika eneo  la  Daraja Mbili, barabara  ya  kwenda Mikumi wilayani Kilosa.
Alisema watuhumiwa hao walikamatwa na polisi kwa kushirikiana na askari wa  wanyamapori, waliokuwa kwenye  doria.
Paul alisema  watu  hao walichukua...

 

11 years ago

Habarileo

Meno zaidi ya tembo yakamatwa

Paul ChagonjaJESHI la Polisi Mkoa wa Iringa, usiku wa kuamkia jana lilikamata meno matano ya tembo ambayo thamani yake haikuweza kujulikana mara moja kutoka kwa wafanyabiashara watatu wakazi wa Mbezi, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Ni meno ya tembo au pembe za ndovu?

Yapo makosa mengi tunayosoma katika magazeti. Makosa ninayoyazungumzia katika makala zangu ni ya lugha.

 

11 years ago

Habarileo

Meno ya tembo yakamatwa Mtwara

JESHI la Polisi wilayani hapa, limekamata nyara za Serikali ikiwa ni meno ya tembo 58 yenye uzito wa kilo 130.6 na watuhumiwa watatu ambao walikuwa wanayasafirisha kutoka hapa kwenda Dar es Salaam.

 

11 years ago

BBCSwahili

Meno ya tembo 81 yakamatwa Tanzania

Watu wawili wanashikiliwana polisi nchini Tanzania baada ya kukamatwa na shehena ya meno ya tembo waliyokuwa wakisafirisha kiharamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani