Watupwa jela miaka 20 kwa meno ya tembo
WAKAZI wawili wa Dar es Salaam, wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela au kulipa faini ya Sh milioni tano kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na meno ya tembo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo12 Mar
Wachina jela miaka 5 kwa meno ya tembo
RAIA wawili wa China wamehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini ya Sh milioni moja baada ya kukutwa wakisafirisha meno ya tembo. Qui Wu (30) na Zou Zhihong (51) ambao walikutwa na meno ya tembo, zilizotengenezwa kama bangili na kinyago.
9 years ago
Mtanzania18 Nov
Jela miaka saba kwa kukamatwa na shanga za meno ya Tembo
FARAJA MASINDE NA GODFREY MBANILE (GPC), DAR ES SALAAM
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, imemhukumu kwenda jela miaka saba sambamba na kulipa faini ya Sh milioni 20, Feng Quan (38), raia wa China, baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na goroli 767 za shanga zilizotengenezwa kwa meno ya tembo yenye thamani ya Sh milioni 5.8 ambayo ni nyara za serikali.
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi, John Msafiri, baada ya mtuhumiwa kukutwa na hatia ya kutumia nyara hizo zenye...
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Meno ya tembo yawatupa wawili jela miaka 20
11 years ago
Habarileo22 Dec
Watupwa jela miaka 60 kwa ujambazi
WA K A Z I wawili wa kijiji cha Kakese, John M w a k a l e - bene (24) na Kamili Lugoye (30) wametiwa hatiani na kuhukumiwa na makakama ya wilaya ya Mpanda mkoani Katavi kwenda jela miaka 60 baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha.
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Wachina watupwa jela miaka 20 kwa ujangili
11 years ago
Habarileo10 Jan
Watupwa jela miaka 26
MAHAKAMA ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, imehukumu watu sita kwenda jela miaka 26 na wengine miaka 28 kila mmoja, kwa kuingia ndani ya Hifadhi ya Serengeti na Eneo Tegefu la Maswa bila ya kibali.
10 years ago
Habarileo11 Feb
22 ‘watupwa’ jela kwa uhamiaji haramu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro imewahukumu wahamiaji haramu 22 kutoka nchini Ethiopia kifungo cha kwenda jela miaka miwili kila mmoja ama kulipa faini ya Sh 50,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuingia nchini bila kuwa na kibali cha Seriakali au hati ya kusafiria.
10 years ago
Habarileo27 Sep
Watupwa jela kwa kuishi karibu na chanzo cha mto
MAHAKAMA ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa imewatia hatiani watu 11 kati 21 kwa kuishi karibu na chanzo cha maji cha Mto Mfiri kinyume na sheria.