Watupwa jela miaka 60 kwa ujambazi
WA K A Z I wawili wa kijiji cha Kakese, John M w a k a l e - bene (24) na Kamili Lugoye (30) wametiwa hatiani na kuhukumiwa na makakama ya wilaya ya Mpanda mkoani Katavi kwenda jela miaka 60 baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Wachina watupwa jela miaka 20 kwa ujangili
10 years ago
Habarileo15 Nov
Watupwa jela miaka 20 kwa meno ya tembo
WAKAZI wawili wa Dar es Salaam, wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela au kulipa faini ya Sh milioni tano kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na meno ya tembo.
10 years ago
Habarileo03 Jan
Atupwa jela miaka 30 kwa ujambazi
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Isaralo, Majire Peter (27), kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha.
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Jela miaka 270 kwa ujambazi
10 years ago
CloudsFM14 Aug
ASKOFU ATUPWA JELA MIAKA 32 KWA UJAMBAZI BENKI
Askofu wa Kanisa la Christian Fellowship Assemblies of God la Arusha, Jumanne Kilongola amehukumiwa kifungo cha miaka 32 jela baada ya kupatikana na hatia ya kupora Sh5.3 bilioni ndani ya Benki ya NBC, Tawi la Moshi Mei 21, 2004.
Katika hukumu hiyo iliyotolewa jana na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kilimanjaro, Simon Kobelo, askofu huyo amehukumiwa kifungo hicho pamoja na raia watano wa Kenya baada ya kupatikana na hatia ya kufanya wizi huo kwa mtutu wa bunduki.
Kati ya...
11 years ago
Habarileo10 Jan
Watupwa jela miaka 26
MAHAKAMA ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, imehukumu watu sita kwenda jela miaka 26 na wengine miaka 28 kila mmoja, kwa kuingia ndani ya Hifadhi ya Serengeti na Eneo Tegefu la Maswa bila ya kibali.
10 years ago
Habarileo11 Feb
22 ‘watupwa’ jela kwa uhamiaji haramu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro imewahukumu wahamiaji haramu 22 kutoka nchini Ethiopia kifungo cha kwenda jela miaka miwili kila mmoja ama kulipa faini ya Sh 50,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuingia nchini bila kuwa na kibali cha Seriakali au hati ya kusafiria.
10 years ago
Habarileo27 Sep
Watupwa jela kwa kuishi karibu na chanzo cha mto
MAHAKAMA ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa imewatia hatiani watu 11 kati 21 kwa kuishi karibu na chanzo cha maji cha Mto Mfiri kinyume na sheria.
10 years ago
Habarileo30 May
Raia 4 wa Burundi watupwa jela
RAIA wanne wa Burundi wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kila mmoja, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuishi nchini bila ya kuwa na kibali.