Wasambaza picha za ngono kufungwa miaka saba jela
>Leo, Serikali itawasilisha bungeni muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao wa mwaka 2015 kwa hati ya dharura unaoorodhesha adhabu mbalimbali, ikiwamo ya faini ya Sh50 milioni au kifungo kisichopungua miaka saba kwa mtu atakayebainika kusambaza picha za ngono mtandaoni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Ykileo![](http://2.bp.blogspot.com/-zDGdzXASjGs/U3sVzygzP9I/AAAAAAAAAgs/vfjDOdjiu2g/s72-c/12345.jpg)
WANAOTUMA JUMBE ZA NGONO KUPITIA SIMU KUFUNGWA JELA NCHINI KENYA
![](http://2.bp.blogspot.com/-zDGdzXASjGs/U3sVzygzP9I/AAAAAAAAAgs/vfjDOdjiu2g/s1600/12345.jpg)
Adhabu hiyo itawahusu wale wanaotuma ujumbe wenye picha za watu walio uchi na zenye mada ya ngono nchini humo. Maafisa wakuu wa serikali wanasema kuwa yeyote atakayepatikana na hatia atafungwa jela kifungo cha miezi mitatu kwenda chini.
Afisa mkuu kutoka tume ya mawasiliano ya Kenya , Christopher Wambua,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNV3o*LlFmAB64HIQvvNJxRNI0fcnbhFcEau1W7FJavKJFkOS62xUlVIsRehbuKimfz27-8ulqBu2RMilWAw4I8o/diamond.jpg)
DIAMOND KUFUNGWA JELA MIAKA MITATU!
11 years ago
BBCSwahili13 Dec
Rwanda - Ingabire kufungwa miaka 15 jela
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Mfalme kufungwa jela miaka 12 Afrika Kusini
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E2q56SVxnZdQOwcR6HaKivVPSGgbEBhknIlVqnDS5NGE1d3uRzai0weL*GGoN62tttqwLdV3ITGWsWmHb7LWq2escwr5Sbk8/3.jpg)
WAKILI DAMAS NDUMBARO ATUPWA JELA YA SOKA MIAKA SABA
9 years ago
Mtanzania18 Nov
Jela miaka saba kwa kukamatwa na shanga za meno ya Tembo
FARAJA MASINDE NA GODFREY MBANILE (GPC), DAR ES SALAAM
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, imemhukumu kwenda jela miaka saba sambamba na kulipa faini ya Sh milioni 20, Feng Quan (38), raia wa China, baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na goroli 767 za shanga zilizotengenezwa kwa meno ya tembo yenye thamani ya Sh milioni 5.8 ambayo ni nyara za serikali.
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi, John Msafiri, baada ya mtuhumiwa kukutwa na hatia ya kutumia nyara hizo zenye...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-u-_IVDpor1s/XrfLlTesAjI/AAAAAAALpp4/VXwc-Og4jjsoDaYHB0ZgPxOU3XnZeqJpQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200510-WA0003.jpg)
ALIYEKUWA MWEKA HAZINA SIMANJIRO NA MHASIBU WAHUKUMIWA MIAKA SABA JELA
Na Mwandishi wetu
ALIYEKUWA mweka hazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Peter Mollel na mhasibu msaidizi Ester Melkior wamehukumiwa kifungo cha miaka saba kwenda jela na kulipa faini ya shilingi milioni 36 kila mmoja kwa makosa ya wizi wakiwa mtumishi wa umma.
Kwa nyakati tofauti kati ya mwaka 2008 na 2010 watu hao walishirikiana kuzidisha orodha ya walipwaji mishahara ya watumishi wa halmashauri hiyo na kuwasilisha benki kisha kujipatia sh34.5 milioni.
Naibu msajili wa...
10 years ago
Michuzi13 Oct
BREAKING NYUZZZZ......: WAKILI DAMAS NDUMBARO ‘ ATUPWA JELA YA SOKA’ MIAKA SABA
Ndumbaro alikimbilia katika vyombo vya habari...
10 years ago
CloudsFM05 Dec
Wananchi wameedhimisha mwaka mmoja toka waondokewe na kiongozi wao Mzee Nelson Mandela ambaye aliiongoza nchi hiyo kutoka mikononi mwa Makaburu baada ya kufungwa miaka 27 jela.
Maadhimisho hayo yametanguliwa na ibada ya maombi ambapo wamekaa kimya kwa dakika tatu, na kisha kuweka mashada za maua wakiongozwa na wazee waliopigana na makaburu wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, kumekuwa na upulizaji wa vuvuzela nchini kote, kugonga kengele, ngoma, na kutakuwa na mechi ya mchezo wa kirafiki wa kriketi.
Mandela alikuwa Rais wa kwanza mzalendo kuiongoza Afrika Kusini kwa kipindi cha muhula mmoja wa miaka mitano kuanzia mwaka 1994 hadi 1999 alipoachia madaraka kwa...