WANAOTUMA JUMBE ZA NGONO KUPITIA SIMU KUFUNGWA JELA NCHINI KENYA

Kwa mujibu wa tovuti ya "BBC SWAHILI" Serikali ya Kenya imesema watu watakaopatikana na hatia ya kutuma ujumbe wa kingono kwa kutumia simu za kiganjani na intaneti watafungwa Jela.
Adhabu hiyo itawahusu wale wanaotuma ujumbe wenye picha za watu walio uchi na zenye mada ya ngono nchini humo.
Afisa mkuu kutoka tume ya mawasiliano ya Kenya , Christopher Wambua,...
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili15 May
Onyo kwa wanaotuma ujumbe wa ngono Kenya
10 years ago
Mwananchi30 Mar
Wasambaza picha za ngono kufungwa miaka saba jela
5 years ago
CCM Blog
10 years ago
Michuzi
MUHTASARI WA HABARI KATIKA TV MBALIMBALI NCHINI LEO KUPITIA SIMU TV
Zimekusanywa na Samuel Kamugisha
CHANNEL 10*Baraza la Taifa la elimu ya ufundi NACTE lafuta usajili wa vyuo 3 na 16 kushushwa hadhi katika jitihada za kulinda ubora wa elimu nchini. http://youtu.be/2HosRmHz7lU
*Jaji Augustino Ramadhani apata wadhamini mkoani Kilimanjaro huku akisema endapo atachaguliwa atashirikiana na wagombea wenziwe. http://youtu.be/qU7V9hQfIlI *Kada wa CCM Edward Lowassa asema hababaishwi na kashfa,vitisho na matusi anavyokumbana navyo kwani ana nia ya dhati ya kuongoza...
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Teknolojia mpya ya KYC ya kusajili na kuhakiki namba za simu za mkononi kupitia Smartphone yazinduliwa nchini
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma akifungua mkutano na waandishi wa Habari na kuzungumzia umuhimu wa kusajili namba za simu za Mkononi na Mfumo mpya wa kusajili namba na kuhakiki kutumia Teknolojia mpya ya Kielekroniki..
Mwenyekiti wa umoja wa makampuni ya mawasiliano Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bwana Rene Meeza akitamka rasmi uzinduzi wa usajili mpya wa simu za mikononi kwa kutumia Teknolojia mpya ya kutumia smart...
9 years ago
BBCSwahili15 Dec
Mfalme wa Afrika Kusini kufungwa jela
11 years ago
BBCSwahili19 Jun
Taylor hataki kufungwa jela Uingereza
11 years ago
GPL
DIAMOND KUFUNGWA JELA MIAKA MITATU!
11 years ago
BBCSwahili13 Dec
Rwanda - Ingabire kufungwa miaka 15 jela