DIAMOND KUFUNGWA JELA MIAKA MITATU!
![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNV3o*LlFmAB64HIQvvNJxRNI0fcnbhFcEau1W7FJavKJFkOS62xUlVIsRehbuKimfz27-8ulqBu2RMilWAw4I8o/diamond.jpg)
Na Musa Mateja Kufuatia tukio la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuonekana jukwaani na sare zinazoaminika kuwa za Jeshi la Wananchi (JWTZ) kisha kukamatwa kwa kundi lake la Wasafi Classic Baby (WCB) na meneja wake, Babu Tale, kuna uwezekano wa jamaa huyo kufungwa jela miaka miwili au mitatu. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri zamu yake kupanda jukwaani....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania09 Jul
Atupwa jela miaka mitatu
MAHAKAMA ya Wilaya Ilala imemuhukumu Mwanamuziki wa Bendi ya Achigo, Frank Ndokezi (41) kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa kuiibia Ofisi ya Usaki Sacos Sh. milioni 19.8, kutakiwa kulipa faini ya fedha hizo mara baada ya kumaliza kutumikia adhabu hiyo
Hukumu hiyo ilitolewa jana Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Juma Hassan, Wakili wa Serikali Ferista Mosha.
Hakimu Hassan alisema upande wa mashitaka ulikuwa na mashahidi watano waliotoa ushahidi ili kuweza kuthibitisha...
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
Francis Cheka : miaka mitatu jela
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2xPSDbl5pyiOZtnbV-8blFLxHgxg0kMatjPu6-LViDVLqFP5hQmw4qga2ttTZAJmXNNr8*HXCSYw-L*oxmsZUdwHHTkMR3G7/breakingnews.gif)
FRANCIS CHEKA JELA MIAKA MITATU
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Kigogo TBS jela miaka mitatu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salam jana imemuhukumu kifungo cha miaka mitatu jela aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekerege baada ya kumtia hatiani...
10 years ago
Habarileo29 Aug
Mkurugenzi TBS jela miaka mitatu
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelege, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela, baada ya kupatikana na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka na kutoa msamaha wa ada ya utawala kwa kampuni mbili bila kibali.
10 years ago
Mwananchi13 Feb
Raia wa india jela miaka mitatu
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Yona, Mramba jela miaka mitatu
10 years ago
Habarileo16 Jun
Wivu wampeleka jela miaka mitatu
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imemhukumu Rebecca Nyangolema (30) kifungo cha miaka mitatu jela pamoja na kulipa fidia ya Sh 350,000 baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia kwa maji ya moto mlalamikaji na kumsababishia maumivu.
10 years ago
Mtanzania27 Mar
Mwandishi atakayepotosha jela miaka mitatu
Na Fredy Azzah, Dodoma
BUNGE limetuma salamu kwa vyombo vya habari na waandishi wa habari kwa kupitisha Muswada wa Takwimu wa Mwaka 2013, ambao pamoja na mambo mengine unataka mwandishi atakayefanya makosa kwenye kuripoti taarifa za takwimu kufungwa jela miaka mitatu ama kutozwa faini ya Sh milioni 10.
Muswada huo umepitisha wakati ambapo, Machi 31, mwaka huu Serikali inatarajiwa kuwasilisha muswada wa Sheria ya Kupata Habari wa Mwaka 2015 na ule wa Vyombo vya Habari wa Mwaka 2015, yote kwa...