Raia wa india jela miaka mitatu
RAIA wa India, Santnam Singh (43) amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh 380,000 baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na kisu katika Uwanja wa Kimataifa wa Julias Nyerere (JNIA).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
KORTI YAMUHUKUMU RAIA WA SOMALIA KWENDA JELA MIAKA MITATU

Hukumu hiyo imetolewa jana Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya mshtakiwa huyo kukiri shtaka lake na hivyo kutiwa hatiani.
Akisoma hukumu hiyo Hakimu Simba amesema amezingatia maombi ya mshtakiwa kuwa anategemewa na familia na hivyo, mahakama imemuhukumu kulipa faini ya Sh. Milioni moja...
5 years ago
Michuzi
RAIA WA CAMEROON AHUKUMIWA KULIPA FAINI YA SH. MILIONI 100 AMA KWENDA JELA MIAKA MITATU

Pia Mahakama imeamuru kutaifishwa kwa USD 84,300 alizokutwa nazo mshtakiwa.
Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Rashidi Chaungu baada ya mshtakiwa kukiri kosa lake.
Kabla ya kusomwa kwa hukumu hiyo Wakili wa Serikali Mkuu, Shadrack Kimaro aliomba mahakama pamoja na adhabu ya kulipa faini aliomba...
10 years ago
Raia Tanzania09 Jul
Atupwa jela miaka mitatu
MAHAKAMA ya Wilaya Ilala imemuhukumu Mwanamuziki wa Bendi ya Achigo, Frank Ndokezi (41) kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa kuiibia Ofisi ya Usaki Sacos Sh. milioni 19.8, kutakiwa kulipa faini ya fedha hizo mara baada ya kumaliza kutumikia adhabu hiyo
Hukumu hiyo ilitolewa jana Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Juma Hassan, Wakili wa Serikali Ferista Mosha.
Hakimu Hassan alisema upande wa mashitaka ulikuwa na mashahidi watano waliotoa ushahidi ili kuweza kuthibitisha...
10 years ago
Mtanzania27 Mar
Mwandishi atakayepotosha jela miaka mitatu
Na Fredy Azzah, Dodoma
BUNGE limetuma salamu kwa vyombo vya habari na waandishi wa habari kwa kupitisha Muswada wa Takwimu wa Mwaka 2013, ambao pamoja na mambo mengine unataka mwandishi atakayefanya makosa kwenye kuripoti taarifa za takwimu kufungwa jela miaka mitatu ama kutozwa faini ya Sh milioni 10.
Muswada huo umepitisha wakati ambapo, Machi 31, mwaka huu Serikali inatarajiwa kuwasilisha muswada wa Sheria ya Kupata Habari wa Mwaka 2015 na ule wa Vyombo vya Habari wa Mwaka 2015, yote kwa...
10 years ago
Habarileo16 Jun
Wivu wampeleka jela miaka mitatu
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imemhukumu Rebecca Nyangolema (30) kifungo cha miaka mitatu jela pamoja na kulipa fidia ya Sh 350,000 baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia kwa maji ya moto mlalamikaji na kumsababishia maumivu.
11 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Kigogo TBS jela miaka mitatu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salam jana imemuhukumu kifungo cha miaka mitatu jela aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekerege baada ya kumtia hatiani...
11 years ago
GPL
DIAMOND KUFUNGWA JELA MIAKA MITATU!
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
Francis Cheka : miaka mitatu jela
10 years ago
GPL
FRANCIS CHEKA JELA MIAKA MITATU