Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALIYEKUWA MWEKA HAZINA SIMANJIRO NA MHASIBU WAHUKUMIWA MIAKA SABA JELA


Na Mwandishi wetu
ALIYEKUWA mweka hazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Peter Mollel na mhasibu msaidizi Ester Melkior wamehukumiwa kifungo cha miaka saba kwenda jela na kulipa faini ya shilingi milioni 36 kila mmoja kwa makosa ya wizi wakiwa mtumishi wa umma. 
Kwa nyakati tofauti kati ya mwaka 2008 na 2010 watu hao walishirikiana kuzidisha orodha ya walipwaji mishahara ya watumishi wa halmashauri hiyo na kuwasilisha benki kisha kujipatia sh34.5 milioni. 
Naibu msajili wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wahukumiwa jela miaka 90

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu kifungo cha miaka 90 jela washtakiwa Maulid Dotto, maarufu kama Mau Mchina, Nestory Antony maarufu kama Antony China na Bavon Ernest baada ya kupatikana na atia ya kufanya tukio la unyang’anyi wa kutumia silaha na wizi wa mali ya Sh3.4 milioni.

 

11 years ago

GPL

VIGOGO TBA WAHUKUMIWA MIAKA 9 JELA‏

VIGOGO wa Wakala wa Majengo (TBA), Makumba Kimweri na Richard Maliyaga walioruhusu ujenzi wa jengo linalochungulia Ikulu wamehukumiwa kwenda jela miaka 9 kila mmoja au kulipa faini ya shilingi milioni 15 kila mmoja na Hakimu Sundi Fimbo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar! Maofisa hao wa serikali kwa sasa wapo mahabusu kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo ndugu na jamaa wanaangaika kutafuta fedha za kuwalipia...

 

10 years ago

GPL

MRAMBA, YONA WAHUKUMIWA MIAKA 3 JELA NA FAINI YA MILIONI 5

Basil Mramba (wa pili kulia), Daniel Yona (kushoto), Gray Mgonja (kushoto) wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar. MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imewahukumu kwenda jela miaka mitatu na kulipa faini ya milioni tano aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona huku ikimuachia huru aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Gray Mgonja baada ya...

 

9 years ago

StarTV

Watu wa nne wahukumiwa miaka 32 jela kwa uvamizi Nzega.

Mahakama  ya hakimu  mkazi wilaya ya nzega imewahukumu  kifungo cha miaka 32 jela watu nane kwa kosa la kufanya uvamizi na kuiba dhahabu tofali  sita na nusu zenye thamani ya zaidi ya hsilingi bilioni 4 katika mgodi wa dhahabu wa resolute

Akitoa hukumu hiyo hakimu mkazi silyvester  kainda amesema washitakiwa mawazo saliboko ,edward  bunera  ,shaaban  amuru,john  ndaki,pius  shija ,aloyce  zindoro ,davidi  ndaki  pamoja na frenk  kabuche wamehukumiwa  kwenda  jela miaka  30 baada  kutiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hukumu ya Mweka Hazina Kinondoni Juni 25

HUKUMU ya kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili Mweka Hazina wa Manispaa ya Kinondoni, Alfred Mlowe na wenzake 12 inatarajiwa kutolewa Juni 25 mwaka huu. Kesi hiyo namba 38/2013...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya Mweka Hazina Kinondoni yapigwa kalenda

KESI ya matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili Mweka Hazina Manispaa ya Kinondoni, Alferd Mlowe, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Tanga imeahirishwa hadi Machi 11 mwaka huu. Mlowe aliyetokea Halmashauri...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mweka hazina Kibaha awekwa kiti moto

MADIWANI wa Halmashauri ya Mji Kibaha, wamemshukia Mweka Hazina wa Halmashauri hiyo kutokana na kusuasua kwa malipo ya wakandarasi na watu wengine huku kukiwa hakuna sababu maalumu. Wakizungumza kwa jazba...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU : MWEKA HAZINA MKINGA ACHUNGUZWE

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Bibi Judica Omari achunguze utendaji kazi wa Mweka Hazina wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga, Bibi Juan Mening.

Amesema hajaridhishwa na utendaji wake kwa kuwa ameshindwa kusimamia ukusanyaji wa mapato na hata hicho kidogo kinachokusanywa hakifikishwi Serikali.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumatatu, Machi 2, 2020) wakati akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga pamoja na wananchi baada ya kufungua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani