Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWEKA HAZINA WA HALMASHAURI AHUKUMIWA MIAKA SABA GEREZA










Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

ALIYEKUWA MWEKA HAZINA SIMANJIRO NA MHASIBU WAHUKUMIWA MIAKA SABA JELA


Na Mwandishi wetu
ALIYEKUWA mweka hazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Peter Mollel na mhasibu msaidizi Ester Melkior wamehukumiwa kifungo cha miaka saba kwenda jela na kulipa faini ya shilingi milioni 36 kila mmoja kwa makosa ya wizi wakiwa mtumishi wa umma. 
Kwa nyakati tofauti kati ya mwaka 2008 na 2010 watu hao walishirikiana kuzidisha orodha ya walipwaji mishahara ya watumishi wa halmashauri hiyo na kuwasilisha benki kisha kujipatia sh34.5 milioni. 
Naibu msajili wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hukumu ya Mweka Hazina Kinondoni Juni 25

HUKUMU ya kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili Mweka Hazina wa Manispaa ya Kinondoni, Alfred Mlowe na wenzake 12 inatarajiwa kutolewa Juni 25 mwaka huu. Kesi hiyo namba 38/2013...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya Mweka Hazina Kinondoni yapigwa kalenda

KESI ya matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili Mweka Hazina Manispaa ya Kinondoni, Alferd Mlowe, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Tanga imeahirishwa hadi Machi 11 mwaka huu. Mlowe aliyetokea Halmashauri...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mweka hazina Kibaha awekwa kiti moto

MADIWANI wa Halmashauri ya Mji Kibaha, wamemshukia Mweka Hazina wa Halmashauri hiyo kutokana na kusuasua kwa malipo ya wakandarasi na watu wengine huku kukiwa hakuna sababu maalumu. Wakizungumza kwa jazba...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU : MWEKA HAZINA MKINGA ACHUNGUZWE

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Bibi Judica Omari achunguze utendaji kazi wa Mweka Hazina wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga, Bibi Juan Mening.

Amesema hajaridhishwa na utendaji wake kwa kuwa ameshindwa kusimamia ukusanyaji wa mapato na hata hicho kidogo kinachokusanywa hakifikishwi Serikali.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumatatu, Machi 2, 2020) wakati akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga pamoja na wananchi baada ya kufungua...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AMSIMAMISHA KAZI MWEKA HAZINA KOROGWE NA MAAFISA WAWILI


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mweka Hazina wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Subilaga Kapange pamoja na maafisa wengine wawili wanaosimamia ukusanyaji wa mapato katika kituo cha mabasi cha Korogwe baada ya kushindwa kuwasilisha mapato Serikalini.

“Mnakusanya fedha na kuziweka mfukoni hazipelekwi benki mnazitumia kwa matumizi yenu binafsi na kuna siku inaonesha hamjakusanya chochote, hatuwezi kuvumia hali hii hawa wote wakamatwe na wawekwe ndani na hii iwe funzo kwa waweka...

 

11 years ago

Dewji Blog

Maelfu wajitokeza kumuaga mweka hazina wa manispaa ya Ilala marehemu Medard Kabikile Stima, azikwa Jijini Dar

Pichani ni Watoto wa marehemu Medard Kabikile Stima ambaye alikuwa ni Mweka hazina wa Manispaa ya Ilala wakiwa wamebeba msalaba pamoja na picha kuongoza kuingiza mwili katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam ili kuangwa kiserikali na baadae kuelekea kanisani na kwenye makaburi ya Kinondoni ambapo  Agosti 4, 2014 wamempumzisha katika nyumba yake ya milele.

Marehemu Stima alikufa katika ajali ya gari iliyotokea July 31, 2014 karibu na eneo la Bwawani, wakati wakielekea mjini...

 

9 years ago

StarTV

Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.

Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)

Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo  kutokana na  upelelezi  wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wadau wa Modewji blog wajumuika kusherehekea miaka 7 ya mtandao huo ndani ya viwanja vya Saba Saba

IMG_5219

Mdau wa modewjiblog, Ray the hustler (kushoto) aliyeambatana ndugu zake kutembelea banda la Modewjiblog katika picha ya pamoja na Mwandishi wa habari mwandamizi wa mtandao wa Modewjiblog, Andrew Chale.

Na Modewjiblog team

Shamra shamra za miaka Saba za mtandao wa habari nchini wa  Modewji blog  tayari zimeanza kurindima ndani ya banda la MeTL Group lililopo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyoanza  jana kwenye mabanda ya SabaSaba katika viwanja vya Mwalimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani