Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wameedhimisha mwaka mmoja toka waondokewe na kiongozi wao Mzee Nelson Mandela ambaye aliiongoza nchi hiyo kutoka mikononi mwa Makaburu baada ya kufungwa miaka 27 jela.

Maadhimisho hayo yametanguliwa na ibada ya maombi ambapo wamekaa kimya kwa dakika tatu, na kisha kuweka mashada za maua wakiongozwa na wazee waliopigana na makaburu wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, kumekuwa na upulizaji wa vuvuzela nchini kote, kugonga kengele, ngoma, na kutakuwa na mechi ya mchezo wa kirafiki wa kriketi.


Mandela alikuwa Rais wa kwanza mzalendo kuiongoza Afrika Kusini kwa kipindi cha muhula mmoja wa miaka mitano kuanzia mwaka 1994 hadi 1999 alipoachia madaraka kwa...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA BURUNDI BAADA YA SERIKALI YA NCHI HIYO KUPINDULIWA.

Kiongozi wa ''Mapinduzi'' kwa upande wake Meja Jenerali Godefroid NiyombareRais Nkurunzinza hajulikani alikoRais Uhuru Kenyatta akiwa TanzaniaRais kikwete alipohutubia waandishi wa habari Dar es Salaam akiandamana na Rais NkurunzinzaKatibu mkuu wa Umoja wa MataifaMeja Jenerali Godefroid Niyombareh amewaambia waandishi wa habari mjini Bujumubura, kuwa kumeundwa kamati maalum ya kuiokoa BurundiKwa picha zaidi bofya zaidi
Wanajeshi wakitangamana na raia barabarani BujumburaWanajeshi na raia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampeni ya kurudisha UDA mikononi mwa wananchi — 2

NINA uhakika mtu anaweza kujaribu kukusanya takwimu sahihi zaidi na kwa njia ya kisayansi zaidi kuweza kuona ni kwa kiasi gani niko mbali na ukweli. Sasa ni wazi mfano huo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa zamani Israel Ehud Olmert kufungwa jela

Waziri mkuu wa zamani wa Israel Ehud Olmert ametakiwa kutumikia kifungo cha miezi 18 jela kwa makosa ya ulaji rushwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pumzika kwa amani mwanamichezo Mzee wetu Nelson Mandela Madiba

MWILI wa Mzee Nelson Mandela Madiba, ulizikwa jana kijijini kwake Qunu, Eastern Cape, baada ya kufariki Desemba 5, 2013 akiwa na miaka 95. Mandela ambaye kabla ya kupewa jina hilo...

 

5 years ago

CCM Blog

VURUGU ZAZUKA MAREKANI BAADA YA MTU MWEUSI GEORGE FLOYD KUFARIKI MIKONONI MWA POLISI


Waanndamanaji walifika kwenye eneo ambalo polisi wanaohusika na mauaji wanadhaniwa kufanya kaziHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionWaanndamanaji walifika kwenye eneo ambalo polisi wanaohusika na mauaji wanadhaniwa kufanya kaziKumekuwa na vurugu na mapambano kati ya polisi na waandamanaji katika mji wa Minneapolis nchini Marekani baada ya kifo cha mwanaume mmoja mweusi akiwa mikononi mwa polisiPolisi walifyatua gesi ya kutoa machozi na waandamanaji walirusha mawe na kupulizia mapambo ya graffiti kwenye magari ya polisi.Kilichotokea kwenye maandamanoWalianza siku ya Jumanne...

 

11 years ago

BBCSwahili

Rwanda - Ingabire kufungwa miaka 15 jela

Mahakama ya juu zaidi nchini Rwanda imemhukumu kiongozi wa upinzani wa Rwanda Victoire Ingabire miaka 15 jela katika kesi ya rufaa

 

10 years ago

GPL

DIAMOND KUFUNGWA JELA MIAKA MITATU!

Na Musa Mateja
Kufuatia tukio la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuonekana jukwaani na sare zinazoaminika kuwa za Jeshi la Wananchi (JWTZ) kisha kukamatwa kwa kundi lake la Wasafi Classic Baby (WCB) na meneja wake, Babu Tale, kuna uwezekano wa jamaa huyo kufungwa jela miaka miwili au mitatu. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri zamu yake kupanda jukwaani....

 

9 years ago

BBCSwahili

Mfalme kufungwa jela miaka 12 Afrika Kusini

Mahakama nchini Afrika Kusini imedumisha hukumu aliyopewa mfalme wa kabila la Thembu, ikisema lazima atumikie kifungo cha miaka 12.

 

10 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA NELSON MANDELA KUNUFAIKA NA USHIRIKIANO KUTOKA CHINA

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika cha Nelson Mandela(NM-AIST),Profesa Burton Mwamila(kushoto)na Makamu Mkuu wa Chuo cha Kikuu cha East China Normal University(ECNU)Profesa Sun Zhenrong wakisaini makubaliano ya vyuo hivyo viwili kushirikiana katika nyanja za utafiti,mafunzo na kifedha leo mkoani Arusha. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika cha Nelson Mandela(NM-AIST)kilichopo ,Profesa Burton Mwamila(kushoto)na Makamu Mkuu wa Chuo cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani