Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiongozi wa zamani Israel Ehud Olmert kufungwa jela

Waziri mkuu wa zamani wa Israel Ehud Olmert ametakiwa kutumikia kifungo cha miezi 18 jela kwa makosa ya ulaji rushwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Ehud Olmert jela kwa miaka sita

Waziri mkuu wa zamani wa Israel amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela kwa kupokea hongo ili kuharakisha mradi wa ujenzi Jerusalem

 

9 years ago

Global Publishers

Waziri mkuu wa zamani wa Israel ahukumiwa kwenda jela

Olmert Ehud

Ehud Olmert

Jerusalem, Israel
Mahakama Kuu ya Israel, imemhukumu aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo kuanzia mwaka 2006-2009, Ehud Olmert kifungo cha miezi 18 jela baada ya kukutwa na hatia kwenye makosa ya kula rushwa yaliyokuwa yanamkabili.
Awali, Mei, 2014, Olmert alihukumiwa kifungo cha miaka 6 jela kufuatia kukutwa na hatia katika makosa ya kupokea rushwa katika kipindi cha 1993 hadi 2003 alipokuwa Meya wa Jiji la Jerusalem. Baada ya hukumu ya awali, Olmert alikata rufaa na baada ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel:Ehud Omert alipokea hongo

Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Ehud Olmert amepatikana na hatia ya kosa la kupokea hongo katika sakata iliyomlazimisha kujiuzulu mwaka 2008

 

10 years ago

CloudsFM

Wananchi wameedhimisha mwaka mmoja toka waondokewe na kiongozi wao Mzee Nelson Mandela ambaye aliiongoza nchi hiyo kutoka mikononi mwa Makaburu baada ya kufungwa miaka 27 jela.

Maadhimisho hayo yametanguliwa na ibada ya maombi ambapo wamekaa kimya kwa dakika tatu, na kisha kuweka mashada za maua wakiongozwa na wazee waliopigana na makaburu wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, kumekuwa na upulizaji wa vuvuzela nchini kote, kugonga kengele, ngoma, na kutakuwa na mechi ya mchezo wa kirafiki wa kriketi.


Mandela alikuwa Rais wa kwanza mzalendo kuiongoza Afrika Kusini kwa kipindi cha muhula mmoja wa miaka mitano kuanzia mwaka 1994 hadi 1999 alipoachia madaraka kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Israel yamlenga kiongozi wa Hamas

Kikundi cha Hamas kimesema mke na mtoto wa kamanda wake wa kijeshi, Mohammed Deif, wameuawa katika shambulio la Israel

 

11 years ago

BBCSwahili

Taylor hataki kufungwa jela Uingereza

Rais wa zamani wa Liberia, Charles Taylor ameanzisha harakati za kisheria kupinga amri ya kutumikia kifungo chake cha jela nchini Uingereza.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND KUFUNGWA JELA MIAKA MITATU!

Na Musa Mateja
Kufuatia tukio la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuonekana jukwaani na sare zinazoaminika kuwa za Jeshi la Wananchi (JWTZ) kisha kukamatwa kwa kundi lake la Wasafi Classic Baby (WCB) na meneja wake, Babu Tale, kuna uwezekano wa jamaa huyo kufungwa jela miaka miwili au mitatu. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri zamu yake kupanda jukwaani....

 

9 years ago

BBCSwahili

Mfalme wa Afrika Kusini kufungwa jela

Mfalme wa kabila la Nelson Mandela la Thembu atafungwa jela baada ya mahakama ya kikatiba nchini Afrika Kusini kukataa kata kata kusikiza ombi la rufaa

 

11 years ago

BBCSwahili

Rwanda - Ingabire kufungwa miaka 15 jela

Mahakama ya juu zaidi nchini Rwanda imemhukumu kiongozi wa upinzani wa Rwanda Victoire Ingabire miaka 15 jela katika kesi ya rufaa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani