Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ehud Olmert jela kwa miaka sita

Waziri mkuu wa zamani wa Israel amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela kwa kupokea hongo ili kuharakisha mradi wa ujenzi Jerusalem

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa zamani Israel Ehud Olmert kufungwa jela

Waziri mkuu wa zamani wa Israel Ehud Olmert ametakiwa kutumikia kifungo cha miezi 18 jela kwa makosa ya ulaji rushwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanachuo Udom jela miaka sita

>Mahakama ya Wilaya ya  Ilala imemhukumu kifungo cha miaka sita jela, Melkiad Kabunduguru(28) baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kukutwa na noti bandia.

 

10 years ago

Habarileo

Mwanafunzi UDOM jela miaka sita

MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkiad Kabunduguru (28) amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kukutwa na noti bandia.

 

9 years ago

StarTV

Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.

Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)

Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo  kutokana na  upelelezi  wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...

 

5 years ago

Michuzi

Mwanaume (45) atupwa jela miaka 30 kwa kosa la kumwingilia kimapenzi mjukuu wake wa miaka 5


Na Amiri kilagalila,Njombe

Mwanaume mmoja aliejulikana kwa jina la Charles Mwinami (45) mkazi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumwingilia kimapenzi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 5 na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi Milioni Kumi kwa mwathirika.

Akisoma kesi no 12 ya 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoani Njombe Hassan Makube amesema mtuhumiwa amekutwa na hatia hiyo baada ya ushahidi wa daktari...

 

11 years ago

Mwananchi

Jela miezi sita kwa wizi wa jeneza

Mahakama ya Wilaya ya Bariadi, mkoani Simiyu imemhukumu Bahati Lukas (25) kifungo cha nje miezi sita baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa jeneza.

 

9 years ago

Habarileo

Msichana miaka 15 jela miaka 8 kwa kuua

MSICHANA wa miaka 15 (jina limehifadhiwa) amehukumiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kifungo cha miaka minane jela.

 

11 years ago

Habarileo

Jela miaka 30 kwa kubaka

MAHAKAMA ya hakimu mkazi wilaya ya Shinyanga, imemtupa jela mkazi wa kijiji cha Ilobashi wilaya ya Shinyanga Vijijini miaka 30 baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili.

 

11 years ago

Habarileo

Miaka 30 jela kwa ubakaji

MKAZI wa kijiji cha Kigonsera kata ya Kigonsera wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, Anton Ndimbo (33) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kutokana na kupatikana na kosa la ubakaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani