Waziri mkuu wa zamani wa Israel ahukumiwa kwenda jela
Ehud Olmert
Jerusalem, Israel
Mahakama Kuu ya Israel, imemhukumu aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo kuanzia mwaka 2006-2009, Ehud Olmert kifungo cha miezi 18 jela baada ya kukutwa na hatia kwenye makosa ya kula rushwa yaliyokuwa yanamkabili.
Awali, Mei, 2014, Olmert alihukumiwa kifungo cha miaka 6 jela kufuatia kukutwa na hatia katika makosa ya kupokea rushwa katika kipindi cha 1993 hadi 2003 alipokuwa Meya wa Jiji la Jerusalem. Baada ya hukumu ya awali, Olmert alikata rufaa na baada ya...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili29 Dec
Kiongozi wa zamani Israel Ehud Olmert kufungwa jela
10 years ago
GPLCHARLES EKELEGE AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA MITATU
11 years ago
GPLMWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI HAPPY KIMALI AHUKUMIWA KWENDA JELA
11 years ago
GPLRAIS WA BAYERN MUNICH AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3 KWA KUKWEPA KODI
10 years ago
BBCSwahili25 May
Israeli:waziri wa zamani Olmnert ahukumiwa
10 years ago
GPLRAIS WA ZAMANI WA MISRI MOHAMED MORSI KWENDA JELA MIAKA 20
5 years ago
MichuziRAIA WA CAMEROON AHUKUMIWA KULIPA FAINI YA SH. MILIONI 100 AMA KWENDA JELA MIAKA MITATU
Pia Mahakama imeamuru kutaifishwa kwa USD 84,300 alizokutwa nazo mshtakiwa.
Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Rashidi Chaungu baada ya mshtakiwa kukiri kosa lake.
Kabla ya kusomwa kwa hukumu hiyo Wakili wa Serikali Mkuu, Shadrack Kimaro aliomba mahakama pamoja na adhabu ya kulipa faini aliomba...
10 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZZZ: Aliyekuwa Mkurugenzi wa TBS, Charles Ekelege ahukumiwa kwenda jela miaka mitatu
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Nchini (TBS), Charles Ekelege amehukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwenda jela miaka mitatu na kuilipa serikali Dola 42,543 za Kimarekani, baada ya kupatikana na hatia ya makosa matatu ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka kwa kutoa asilimia 50.
Kadhalika, Ekelege anadaiwa kutoa asilimi hiyo ya punguzo la tozo ya utawala kwa Kampuni mbili Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors na...
5 years ago
BBCSwahili12 Jun
Thomas Thabane: Waziri Mkuu wa zamani wa Lesotho 'alilipa majambazi kumuua mke wake wa zamani''