Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Israeli:waziri wa zamani Olmnert ahukumiwa

Mahakama mjini Jerusalem imemhukumu waziri wa zamani wa Israeli Ehud Olmnert miezi 8 jela kutokana na mashtaka ya ufisadi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Waziri mkuu wa zamani wa Israel ahukumiwa kwenda jela

Olmert Ehud

Ehud Olmert

Jerusalem, Israel
Mahakama Kuu ya Israel, imemhukumu aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo kuanzia mwaka 2006-2009, Ehud Olmert kifungo cha miezi 18 jela baada ya kukutwa na hatia kwenye makosa ya kula rushwa yaliyokuwa yanamkabili.
Awali, Mei, 2014, Olmert alihukumiwa kifungo cha miaka 6 jela kufuatia kukutwa na hatia katika makosa ya kupokea rushwa katika kipindi cha 1993 hadi 2003 alipokuwa Meya wa Jiji la Jerusalem. Baada ya hukumu ya awali, Olmert alikata rufaa na baada ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Aliyemfuatilia mpenzi wake wa zamani mtandaoni ahukumiwa

Mmoja wa waathiriwa unyanyasaji wa kimtandao anasimulia yaliyomtokea baada ya mpenzi wake wa zamani aliyemfuatilia kwenye mtandao kwa kujificha ambaye amepatikana na hatia ya kumfuata kisiri na kumtumia mawasiliano

 

5 years ago

BBCSwahili

Thomas Thabane: Waziri Mkuu wa zamani wa Lesotho 'alilipa majambazi kumuua mke wake wa zamani''

Stakabadhi zilizowasilishwa mahakamani na polisi zanaelezea jinsi Thomas Thabane alivyohusika na mauaji hayo.

 

10 years ago

GPL

STAA WA ZAMANI WA TENNIS, BOB HEWITT AHUKUMIWA MIAKA 6 KWA UBAKAJI

Bob Hewitt. STAA wa zamani wa tennis, Bob Hewitt amehukumiwa kwenda jela miaka sita kwa kosa la ubakaji nchini Afrika Kusini. Bob Hewitt enzi zake. Hewitt alikutwa na hatia Mwezi Machi jijini Johannesburg kwa makosa mawili la ubakaji na udhalilishaji wa kijinsia kwa watoto wa kike. Akizungumza wakati wa kutolewa hukumu hiyo, mke wa Hewitt aliiomba mahakama kuonyesha huruma kwa mumewe huyo mwenye umri wa miaka 75. Makosa hayo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mfungwa wa zamani amzomea 'waziri'

Mfungwa wa zamani wa kambi ya Guantanamo Bay David Hicks amemzomea waziri wa Australia akiituhumu serikali kuwa na habari kuhusu matesi aliyopitia mikononi mwa mwa wanajeshi wa Marekani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waziri wa zamani Malawi akamatwa

Kwa kuhusika na kashfa ya wizi wa mamilioni ya dola pesa za serikali ambayo imeathiri mishahara ya wafanyakazi wa umma.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waziri wa zamani wa Lebanon auawa

Aliyekuwa waziri wa fedha wa Lebanon Mohamad Chatah auawa kwa Bomu

 

11 years ago

Habarileo

Waziri wa zamani asota polisi siku 3

WAZIRI wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mansour Yussuf Himid, anaendelea kusota katika kituo cha Polisi kwa muda wa siku tatu tangu alipokamatwa mwishoni mwa wiki.

 

9 years ago

BBCSwahili

Waziri wa zamani Rwanda kukaa jela miaka 47

Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) imeamua waziri mmoja wa zamani wa Rwanda atumikie kifungo cha miaka 47 jela kwa mchango wake mauaji ya kimbari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani