Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS WA ZAMANI WA MISRI MOHAMED MORSI KWENDA JELA MIAKA 20

Rais wa zamani wa Misri Bw. Mohamed Morsi.
Rais wa zamani wa Misri Bw. Mohamed Morsi amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa makosa ya kusababisha kuuliwa waandamanaji mwaka 2012. Korti ya makosa ya jinai mjini Cairo imetoa hukumu hiyo wakati Morsi na watuhumiwa wengine katika kesi hiyo, wengi wao wakiwa viongozi wa chama cha Udugu wa kiislam wakisimama ndani ya tundu la vigae katika ya ukumbi wa mahakama katika Chuo cha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Rais Morsi ahukumiwa miaka 20 jela

Rais wa Zamani wa Misri, Mohammed Morsi.Makahama nchini Mirsi imemhukumu aliyekuwa rais wa zamani Mohammed Mosri kifungo cha miaka 20 gerezani kutokana na kuuawa kwa waamdamanaji wakati akiwa madarakani.

 

10 years ago

GPL

MORSI JELA MIAKA 20

  Aliyekuwa Rais wa Misri, Mohammed Mosri amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani kwa kuwachochoea wafuasi wa kundi la Muslim Brotherhood kuwaua waandamanaji wa upinzani alipokuwa madarakani mwaka 2012.

 

11 years ago

GPL

RAIS WA BAYERN MUNICH AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3 KWA KUKWEPA KODI

Rais wa Bayern Munich, Uli Hoeness. Rais wa Bayern Munich amehukumiwa kwenda jela kwa kifungo cha miaka mitatu na miezi sita kutokana na kosa la kukwepa kodi. Uli Hoeness, 62, alikiri kukwepa kodi inayofikia kiasi cha €18.5 million kupitia akaunti zake za benki za siri lakini utetezi wake wa kukiri kosa akidhania ungemsaidia kuepukana na adhabu ya kifungo ulishindwa kumsaidia. Mwendesha mashtaka alitaka Hoeness afungwe...

 

9 years ago

Global Publishers

Waziri mkuu wa zamani wa Israel ahukumiwa kwenda jela

Olmert Ehud

Ehud Olmert

Jerusalem, Israel
Mahakama Kuu ya Israel, imemhukumu aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo kuanzia mwaka 2006-2009, Ehud Olmert kifungo cha miezi 18 jela baada ya kukutwa na hatia kwenye makosa ya kula rushwa yaliyokuwa yanamkabili.
Awali, Mei, 2014, Olmert alihukumiwa kifungo cha miaka 6 jela kufuatia kukutwa na hatia katika makosa ya kupokea rushwa katika kipindi cha 1993 hadi 2003 alipokuwa Meya wa Jiji la Jerusalem. Baada ya hukumu ya awali, Olmert alikata rufaa na baada ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Misri:aliyekuwa rais Morsi kunyongwa

Aliyekuwa rais wa Misri Mohammed Morsi amehukumiwa kunyongwa na mahakama mjini Cairo

 

11 years ago

BBCSwahili

Jasusi wa zamani Rwanda jela miaka 25

Mahakama nchini Ufaransa, imemhukumu kifungo cha miaka 25 jela Pascal Simbikangwa kwa kuhusika na mauaji ya kimbari mwaka 1994.

 

9 years ago

BBCSwahili

Waziri wa zamani Rwanda kukaa jela miaka 47

Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) imeamua waziri mmoja wa zamani wa Rwanda atumikie kifungo cha miaka 47 jela kwa mchango wake mauaji ya kimbari.

 

10 years ago

BBCSwahili

Misri yamhukumu mwandishi miaka 5 jela

Mahakama mjini Cairo Misri imemhukumu mwandishi wa blogu kifungo cha miaka 5 jela kwa kukiuka sheria za undamanaji

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani