Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Misri:aliyekuwa rais Morsi kunyongwa

Aliyekuwa rais wa Misri Mohammed Morsi amehukumiwa kunyongwa na mahakama mjini Cairo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Misri:Marekani yapinga Morsi kunyongwa

Marekani imeelezea kutoridhishwa kwake na kauli ya kuhukumiwa kunyongwa kwa aliyekuwa rais wa Misri Mohamed Morsi hapo jana.

 

10 years ago

GPL

RAIS WA ZAMANI WA MISRI MOHAMED MORSI KWENDA JELA MIAKA 20

Rais wa zamani wa Misri Bw. Mohamed Morsi.
Rais wa zamani wa Misri Bw. Mohamed Morsi amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa makosa ya kusababisha kuuliwa waandamanaji mwaka 2012. Korti ya makosa ya jinai mjini Cairo imetoa hukumu hiyo wakati Morsi na watuhumiwa wengine katika kesi hiyo, wengi wao wakiwa viongozi wa chama cha Udugu wa kiislam wakisimama ndani ya tundu la vigae katika ya ukumbi wa mahakama katika Chuo cha...

 

10 years ago

StarTV

Mohammed Morsi ahukumiwa kunyongwa.

Mahakama moja nchini Misri imetoa amri ya kunyongwa kwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Mohammed Morsi.

Mahakama hiyo ilimpata na hatia aliyekuwa rais wa Misri Mohammed Morsi kufuatia kuvunjwa kwa magereza mwaka wa 2011.

Kauli hii ni msumari katika kidonda cha Morsi ambaye alikuwa tayari anatumikia kifungo cha miaka 20 jela kwa kuamrisha kukamatwa kwa waandamanaji waliopinga utawala wake.

Morsi aling’olewa mamlakani na jeshi mwezi Julai mwaka wa 2013 kufuatia kipindi kirefu cha maandamano dhidi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Morsi kufika mahakamani Misri

Mohammed Morsi anashatakiwa kwa kosa la mauaji na kuchochea mauaji ya waandamanaji waliopinga uongozi wake.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kesi ya Morsi kuendelea Misri

Vikosi vya usalama vimeimarisha ulinzi katika mji mkuu wa Misri, Cairo , kabla ya kufikishwa mahakamani kwa rais aliyeng'olewa madarakani , Mohammed Morsi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Morsi afikishwa mahakamani Misri

Aliyekuwa Rais wa Misri Mohammed Morsi amefikishwa mahakamani kwa mara nyingine kujibu tuhuma za kuchochea mauaji ya waandamanaji 2012

 

10 years ago

BBCSwahili

Misri: Muhammad Morsi ahukumiwa Kifo

Mahakama moja nchini Misri imemhukumu kunyongwa rais wa zamani Muhammad Morsi, kwa kosa la kupanga njama ya kuvunja gereza

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu 26 kunyongwa Misri kwa Ugaidi

Ni baada ya mahakama kuwapata na hatia ya kuunda kundi la kigaidi kushambulia meli kwenye kito cha Suez

 

10 years ago

BBCSwahili

Morsi ashtakiwa kwa kutoa siri za Misri

Mkuu wa mashtaka nchini Misri amemfungulia mashtaka Mohammed Morsi kwa kutoa stakhabadhi za siri za taifa hilo kwa Qatar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani