Morsi afikishwa mahakamani Misri
Aliyekuwa Rais wa Misri Mohammed Morsi amefikishwa mahakamani kwa mara nyingine kujibu tuhuma za kuchochea mauaji ya waandamanaji 2012
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
Morsi kufika mahakamani Misri
Mohammed Morsi anashatakiwa kwa kosa la mauaji na kuchochea mauaji ya waandamanaji waliopinga uongozi wake.
10 years ago
VijimamboLIPUMBA AFIKISHWA MAHAKAMANI
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Yeriko Nyerere afikishwa mahakamani
Mfanyabiashara, Yeriko Yohanesy Nyerere amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka matano ya kutoa taarifa za upotoshaji kupitia mtandao wa Facebook.
10 years ago
BBCSwahili28 Jan
Profesa Lipumba afikishwa mahakamani
Mwenyekiti wa chama cha CUF nchini Tanzania Ibrahim Lipumba amefikishwa mahakamani kwa kuandamana kinyume cha sheria
9 years ago
Mwananchi25 Aug
Masha afikishwa mahakamani Kisutu leo
Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya kukamatwa jana jioni.
9 years ago
BBCSwahili01 Sep
Sambo Dasuki afikishwa mahakamani Abuja
Aliyekuwa mshauri wa kitaifa wa ulinzi nchini Nigeria afikishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka ya kumiliki silaha bila idhini
11 years ago
BBCSwahili08 Jan
Kesi ya Morsi kuendelea Misri
Vikosi vya usalama vimeimarisha ulinzi katika mji mkuu wa Misri, Cairo , kabla ya kufikishwa mahakamani kwa rais aliyeng'olewa madarakani , Mohammed Morsi.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
LAWRENCE MASHA AFIKISHWA MAHAKAMANI JIJINI DAR
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Lawrence Masha . Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mwanachama wa CHADEMA, Lawrence Masha jana alikamatwa na Jeshi la Polisi, leo amefikishwa Mahakama ya Kisutu Jijini Dar Anashtakiwa kwa kosa la kuzuia Polisi wasitimize majukumu yao(Obstructrion of Justice)
10 years ago
BBCSwahili17 May
Misri:Marekani yapinga Morsi kunyongwa
Marekani imeelezea kutoridhishwa kwake na kauli ya kuhukumiwa kunyongwa kwa aliyekuwa rais wa Misri Mohamed Morsi hapo jana.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania