Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masha afikishwa mahakamani Kisutu leo

Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya kukamatwa jana jioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Masha afikishwa mahakamni Kisutu leo

Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya kukamatwa jana jioni.

 

9 years ago

GPL

LAWRENCE MASHA AFIKISHWA MAHAKAMANI JIJINI DAR

Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Lawrence Masha . Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mwanachama wa CHADEMA, Lawrence Masha jana alikamatwa na Jeshi la Polisi, leo amefikishwa Mahakama ya Kisutu Jijini Dar Anashtakiwa kwa kosa la kuzuia Polisi wasitimize majukumu yao(Obstructrion of Justice)

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA UBUNGO, SAID KUBENEA AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO.

 Mbunge wa jimbo Ubungo,(Chadema) Saed Kubenea amefikishwa mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam mapema hii leo akielekea katika  chumba cha kusomewa shtaka la kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Mbunge wa jimbo Ubungo,(Chadema) Said Kubenea akiwa na wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo mara baada ya kusomewa shitaka lililokuwa likimkabiri katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo.  Mbunge wa jimbo Ubungo,(Chadema) Saed Kubenea...

 

10 years ago

Vijimambo

LIPUMBA AFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU

Mwenyekiti wa Chama cha Wanachi CUF, Prof Ibrahim haruna Lipumba akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo alipofikishwa kusjibu shitaka la kuhamasisha wanacham awa chama chake kufanya jinai.Prof Ibrahim Lipumba akiwatuliza wanachama na wafuasi wa chama hicho kuacha kelele katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Wanachama na Wafuasi wa CUF wakiimba nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo.Mwanahabari kutoka DW akimhoji mmoja wa wanachama wa CUF. Kwa hisani ya...

 

10 years ago

Vijimambo

ASKOFU GWAJIMA AFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM

 Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima akiwa ameshikana mkono na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia Behagaza wakati wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, walipofikishwa mahakamani hapo kwa kosa la kutoa lugha za matusi na kukutwa na silaha kinyume cha sheria.(Picha na Francis Dande wa Habari Mseto Blog) Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima akiwa ameshikana mkono na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi,...

 

10 years ago

Vijimambo

LIPUMBA AFIKISHWA MAHAKAMANI

 Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akiwa kwenye kizimba cha mahakama tayari kusomewa shitaka linalomkabili. Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, akiwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo mchana wakati alipofika kusomewa shitaka la kesi yake ya jinai kwa kuwashawishi wafuasi wake kufanya fujo baada ya kutiwa mbaroni jana alipokuwa akiongoza maandamano ya wanachama wa CUF. Mwenyekiti wa Chama cha Wanachi CUF, Prof Ibrahim haruna Lipumba akiwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Morsi afikishwa mahakamani Misri

Aliyekuwa Rais wa Misri Mohammed Morsi amefikishwa mahakamani kwa mara nyingine kujibu tuhuma za kuchochea mauaji ya waandamanaji 2012

 

10 years ago

BBCSwahili

Profesa Lipumba afikishwa mahakamani

Mwenyekiti wa chama cha CUF nchini Tanzania Ibrahim Lipumba amefikishwa mahakamani kwa kuandamana kinyume cha sheria

 

9 years ago

Mwananchi

Yeriko Nyerere afikishwa mahakamani

Mfanyabiashara,  Yeriko Yohanesy Nyerere amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka matano ya kutoa taarifa za upotoshaji kupitia mtandao wa Facebook.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani