Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LAWRENCE MASHA AFIKISHWA MAHAKAMANI JIJINI DAR

Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Lawrence Masha . Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mwanachama wa CHADEMA, Lawrence Masha jana alikamatwa na Jeshi la Polisi, leo amefikishwa Mahakama ya Kisutu Jijini Dar Anashtakiwa kwa kosa la kuzuia Polisi wasitimize majukumu yao(Obstructrion of Justice)

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Masha afikishwa mahakamani Kisutu leo

Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya kukamatwa jana jioni.

 

10 years ago

GPL

KOMANDOO WA JWTZ ALIYEUA MTU AFIKISHWA MAHAKAMANI DAR

Komando wa JWTZ aliyeua mtu mwishoni mwa wiki iliyopita, Octavian Maurus. Polisi wakiondoka mahakama ya wilaya Temeke leo na komandoo huyo.…

 

9 years ago

Vijimambo

MH.LAWRENCE MASHA NA VIONGOZI WENGINE WA CCM WAAHAMIA CHADEMA LEO

Kwa taarifa zilizotufikia leo kutoka Mkoani Arusha zinasema kuwa aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya ndani Mh.Lawrence Masha kakihama Chama cha Mapinduzi na kujiunga na CHADEMA leo.Pia Wanachama wa (CCM) na viongozi ambao ni Daniel Porokwa aliyekuwa katibu wa CCM mkoani Manyara, Robinson aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Arusha, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa Arusha, Goodluck Sipira aliyekuwa katibu wa CCM mkoani  Arusha huyu anatokea Longido, Wazee wa kimila wa kimasai  pamoja na Wazee wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Masha afikishwa mahakamni Kisutu leo

Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya kukamatwa jana jioni.

 

9 years ago

Michuzi

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Lawrence Masha alipoachiwa baada ya kukamilisha masharti ya dhamana.

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Lawrence Masha Akifurahia Jambo na Wakili  Peter kibatala(wa kwanza kulia)   na Albart Msando (wa pili kushoto) Masha aliyevaa tisheti jeusi suruali ya jinsi ya rangi ya Bluu akifurahia jambo  na mawakili na marafiki zake  muda mfupi baada ya kupata dhamana-- Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Lawrence Masha (45) baada ya kukamilisha masharti ya dhamana.
Masha alifikishwa mahakamani hapo jana...

 

10 years ago

Vijimambo

LIPUMBA AFIKISHWA MAHAKAMANI

 Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akiwa kwenye kizimba cha mahakama tayari kusomewa shitaka linalomkabili. Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, akiwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo mchana wakati alipofika kusomewa shitaka la kesi yake ya jinai kwa kuwashawishi wafuasi wake kufanya fujo baada ya kutiwa mbaroni jana alipokuwa akiongoza maandamano ya wanachama wa CUF. Mwenyekiti wa Chama cha Wanachi CUF, Prof Ibrahim haruna Lipumba akiwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Yeriko Nyerere afikishwa mahakamani

Mfanyabiashara,  Yeriko Yohanesy Nyerere amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka matano ya kutoa taarifa za upotoshaji kupitia mtandao wa Facebook.

 

10 years ago

BBCSwahili

Profesa Lipumba afikishwa mahakamani

Mwenyekiti wa chama cha CUF nchini Tanzania Ibrahim Lipumba amefikishwa mahakamani kwa kuandamana kinyume cha sheria

 

11 years ago

BBCSwahili

Morsi afikishwa mahakamani Misri

Aliyekuwa Rais wa Misri Mohammed Morsi amefikishwa mahakamani kwa mara nyingine kujibu tuhuma za kuchochea mauaji ya waandamanaji 2012

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani