Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 26 kunyongwa Misri kwa Ugaidi

Ni baada ya mahakama kuwapata na hatia ya kuunda kundi la kigaidi kushambulia meli kwenye kito cha Suez

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mtu mmoja afa kwa kunyongwa na watu wasiojulikana mkoani Pwani

Na John Gagarini, Kibaha 
MLINZI Bakari Mape (70) mkazi wa Mlandizi wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani ameuwawa kwa kunyongwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.
Watu hao ambao idadi yao haikuweza kufahamika mara moja walimwua mlinzi huyo kwa kumvunja shingo kisha kuiba kwenye duka ambalo mlinzi huyo alikuwa akililinda.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani humo Kamishna Mwandamizi Msaidizi (SACP) Ulrich Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 14 mwaka huu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Misri:aliyekuwa rais Morsi kunyongwa

Aliyekuwa rais wa Misri Mohammed Morsi amehukumiwa kunyongwa na mahakama mjini Cairo

 

10 years ago

BBCSwahili

Misri:Marekani yapinga Morsi kunyongwa

Marekani imeelezea kutoridhishwa kwake na kauli ya kuhukumiwa kunyongwa kwa aliyekuwa rais wa Misri Mohamed Morsi hapo jana.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Watu 17 kortini kwa ugaidi


NA MWANDISHI WETU
WATU 17 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kula njama za kuwaingiza watu nchini kushiriki vitendo vya ugaidi na kusaidia na kuwezesha kufanyika.
Jihad Swalehe, mmoja wa washitakiwa waliofikishwa mahakamani hapo jana saa 7.20 mchana chini ya ulinzi mkali wa polisi, alisomewa mashitaka peke yake ya kula njama za kusaidia na kuwezesha kufanyika vitendo vya kigaidi.
Washitakiwa wengine ni wanaohusika na mashitaka ya kula...

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 17 Dar kizimbani kwa ugaidi

Watu 17 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwamo za kujihusisha na matukio ya ugaidi nchini na katika nchi jirani ya Kenya.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yakamata watu 38 wanaotuhumiwa kwa ujambazi, ugaidi

Jeshi la Polisi limewakamata watu 38 wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi ambao pia wamepatiwa mafunzo ya kigaidi katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Lindi.

 

11 years ago

Mwananchi

SHERIA: Watu sita wapandishwa kizimbani kwa ugaidi

>Watuhumiwa sita wa matukio ya ugaidi katika Jiji la Arusha jana walipandishwa kizimbani wakiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi kujibu tuhuma za kufanya matendo ya kigaidi.

 

11 years ago

Michuzi

watu 16 wafikishwa mahakama ya kisutu kwa tuhuma za ugaidi leo

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii  WAKAZI wa jijini Dar es Salaam 16 leo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na kesi mbili tofauti ikiwemo ikiwemo kula njama na kusaidia wenzao kufanya ugaidi sehemu mbalimbali Tanzania na kutumia mtandao wa Fesibuku kupata mbinu za kutengeza mabomu ya kwenda kufanya ugaidi nchini Kenya. Katika kesi ya kwanza washtakiwa hao ni, Nassor Abdallah, Hassan Suleimani, Anthari Ahmed, Mohamed Yusuph, Abdallah Hassan maarufu kama Jibaba,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani