Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 17 kortini kwa ugaidi


NA MWANDISHI WETU
WATU 17 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kula njama za kuwaingiza watu nchini kushiriki vitendo vya ugaidi na kusaidia na kuwezesha kufanyika.
Jihad Swalehe, mmoja wa washitakiwa waliofikishwa mahakamani hapo jana saa 7.20 mchana chini ya ulinzi mkali wa polisi, alisomewa mashitaka peke yake ya kula njama za kusaidia na kuwezesha kufanyika vitendo vya kigaidi.
Washitakiwa wengine ni wanaohusika na mashitaka ya kula...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

17 kortini kwa ugaidi

Watuhumiwa wa kujihusisha na vitendo vya kigaidi wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi walipofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam kusomewa mashitaka yao jana. (Picha na Mroki Mroki).WATU 17 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kujihusisha na vitendo vya ugaidi.

 

11 years ago

Mwananchi

UHALIFU: 19 kortini kwa ugaidi

>Watu 19 wamefikishwa mahakamani jana kwa mashtaka tofauti ikiwemo kushawishi, kufadhili na kutekeleza ugaidi kwenye matukio kadhaa yaliyotokea jijini Arusha.

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu 26 kunyongwa Misri kwa Ugaidi

Ni baada ya mahakama kuwapata na hatia ya kuunda kundi la kigaidi kushambulia meli kwenye kito cha Suez

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 17 Dar kizimbani kwa ugaidi

Watu 17 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwamo za kujihusisha na matukio ya ugaidi nchini na katika nchi jirani ya Kenya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 5 kortini kwa mauaji Uchina

Watu watano wafuasi wa dhehebu la ''Church of Almighty God'' wafikishwa mahakamani kwa mauaji.

 

11 years ago

Mwananchi

SHERIA: Watu sita wapandishwa kizimbani kwa ugaidi

>Watuhumiwa sita wa matukio ya ugaidi katika Jiji la Arusha jana walipandishwa kizimbani wakiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi kujibu tuhuma za kufanya matendo ya kigaidi.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yakamata watu 38 wanaotuhumiwa kwa ujambazi, ugaidi

Jeshi la Polisi limewakamata watu 38 wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi ambao pia wamepatiwa mafunzo ya kigaidi katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Lindi.

 

11 years ago

Michuzi

watu 16 wafikishwa mahakama ya kisutu kwa tuhuma za ugaidi leo

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii  WAKAZI wa jijini Dar es Salaam 16 leo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na kesi mbili tofauti ikiwemo ikiwemo kula njama na kusaidia wenzao kufanya ugaidi sehemu mbalimbali Tanzania na kutumia mtandao wa Fesibuku kupata mbinu za kutengeza mabomu ya kwenda kufanya ugaidi nchini Kenya. Katika kesi ya kwanza washtakiwa hao ni, Nassor Abdallah, Hassan Suleimani, Anthari Ahmed, Mohamed Yusuph, Abdallah Hassan maarufu kama Jibaba,...

 

10 years ago

Habarileo

Watuhumiwa 25 wa ugaidi kortini Moro

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo.WATU 25 wanaotuhumiwa kwa vitendo vya ugaidi katika Tarafa ya Kidatu wilayani Kilombero mkoa wa Morogoro, wamepandishwa kizimbani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani