Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 5 kortini kwa mauaji Uchina

Watu watano wafuasi wa dhehebu la ''Church of Almighty God'' wafikishwa mahakamani kwa mauaji.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kortini kwa mauaji ya Polisi Tabora

WATU saba wamefikishwa katika Mahakama Mkoa wa Tabora wakikabiliwa na tuhuma za mauaji ya askari polisi wawili wa Kituo cha Polisi Ussoko, Wilaya ya Urambo. Waliofikishwa mahakamani hapo jana ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Walinzi Kampuni ya Tanzanite One kortini kwa mauaji

Walinzi watatu wa Kampuni ya Tanzanite One wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Manyara kwa tuhuma za mauaji ya mchimbaji mdogo wa madini ya tanzanite wa Mirerani, Samwel Lucas (36).

 

9 years ago

Mwananchi

Kortini kwa mauaji ya polisi na raia Stakishari

Idadi ya washtakiwa waliofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka saba ya mauaji ya maofisa wanne wa polisi na raia watatu katika kituo cha jeshi hilo cha Stakishari, imeongezeka hadi kufikia 10.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Watu 17 kortini kwa ugaidi


NA MWANDISHI WETU
WATU 17 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kula njama za kuwaingiza watu nchini kushiriki vitendo vya ugaidi na kusaidia na kuwezesha kufanyika.
Jihad Swalehe, mmoja wa washitakiwa waliofikishwa mahakamani hapo jana saa 7.20 mchana chini ya ulinzi mkali wa polisi, alisomewa mashitaka peke yake ya kula njama za kusaidia na kuwezesha kufanyika vitendo vya kigaidi.
Washitakiwa wengine ni wanaohusika na mashitaka ya kula...

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 10 wahojiwa kwa mauaji Tarime

Watu 10 wanashikiliwa na polisi kwa mahojiano baada ya kukamatwa na msako wa kikosi kazi kwa kushirikiana na Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya, baada ya kutokea kwa mauaji ya hivi karibuni wilayani Tarime dhidi ya mtu asiyefahamika wala aina ya bunduki yake.

 

10 years ago

Dewji Blog

23 washikiliwa na Polisi kwa mauaji ya watu 4

DSC01646

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka.

Na Nathaniel Limu, Singida

JESHI la polisi mkoa wa Singida, linawashikilia watu 23 wakazi  wa kijiji cha Nkyala kata ya shelui wilaya Iramba mkoa wa Singida, kwa tuhuma ya kudaiwa kuuawa kwa makusudi wezi wanne wa madume ya Ng’ombe.

Akizungumza na waandishi wa habari jana ofisini kwake, Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka, alisema watu hao kati yao 21 wanatuhumiwa kwa mauaji na wawili...

 

10 years ago

Mwananchi

Watu 13 mbaroni kwa mauaji ya Kiteto

Polisi mkoani Manyara wanawashikilia zaidi ya watu 13 wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya wakulima na wafugaji yaliyotokea wiki iliyopita katika Kata za Matui na Kiperesa wilayani hapa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 5 washtakiwa kwa mauaji ya Garissa

Watu watano wameshtakiwa kwa tuhuma za kula njama za kufanya kitendo cha ugaidi kuhusiana na shambulio lililofanywa na Al Shabaab huko Garissa

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 12 kizimbani kwa tuhuma za mauaji ya Kiteto

Wafugaji 12 wa jamii ya Kimasai wilayani Kiteto, katika Mkoa wa Manyara, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya wakulima tisa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani