Watu 10 wahojiwa kwa mauaji Tarime
Watu 10 wanashikiliwa na polisi kwa mahojiano baada ya kukamatwa na msako wa kikosi kazi kwa kushirikiana na Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya, baada ya kutokea kwa mauaji ya hivi karibuni wilayani Tarime dhidi ya mtu asiyefahamika wala aina ya bunduki yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi09 Feb
Mtuhumiwa aliyesakwa na Polisi kwa mauaji ya watu wanane Tarime akamatwa Tanga
Jambazi kuu anayetuhumiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na unyanganyi wa kutumia silaha yaliyo tokea Wilayani Tarime kuanzia 26 hadi 28.01.2014 amekamatwa na jeshi la polisi jioni ya Tarehe 06.02.2014 mkoani Tanga.
Akisimulia kukamatwa kwa jambazi huyo Kamanda wa mkoa wa kipolisi Tarime/Rorya Justus Kamugisha amesema kuwa mtuhumiwa huyo alikamatwa jioni ya Tarehe 06.02.2014 majira ya saa 1.30 na katika mahojiano ya awali ya jeshi la polisi mtuhumiwa huyo alikiri kuhusika na matukio ya...
11 years ago
Mwananchi29 Jan
Mauaji yazidi kutikisa Tarime
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Watu 5 washtakiwa kwa mauaji ya Garissa
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Watu 13 mbaroni kwa mauaji ya Kiteto
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
23 washikiliwa na Polisi kwa mauaji ya watu 4
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka.
Na Nathaniel Limu, Singida
JESHI la polisi mkoa wa Singida, linawashikilia watu 23 wakazi wa kijiji cha Nkyala kata ya shelui wilaya Iramba mkoa wa Singida, kwa tuhuma ya kudaiwa kuuawa kwa makusudi wezi wanne wa madume ya Ng’ombe.
Akizungumza na waandishi wa habari jana ofisini kwake, Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka, alisema watu hao kati yao 21 wanatuhumiwa kwa mauaji na wawili...
11 years ago
BBCSwahili21 Aug
Watu 5 kortini kwa mauaji Uchina
10 years ago
Habarileo20 Nov
Raia wa Kenya afanya mauaji baa Tarime
MTUHUMIWA wa vitendo vya ujambazi kutoka Kijiji cha Masangura, Wilaya ya Kurya West nchi jirani ya Kenya, Chacha Marwa Gibai maarufu kama Mapengo anashikiliwa na polisi katika Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya akituhumiwa kuua mtu kwa kumchoma kisu na kujeruhi mwingine kwa kisu katika vurugu aliyoianzisha baa mjini hapa.
11 years ago
Habarileo07 Feb
8 kizimbani kwa mauaji ya watu nyakati tofauti
WATU wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Tarime kwa mashitaka ya mauaji ya watu wanne katika maeneo na nyakati tofauti wilayani hapa. Walisomewa mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Tarime, Adrian Kilimi.
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Watu 12 kizimbani kwa tuhuma za mauaji ya Kiteto