Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


8 kizimbani kwa mauaji ya watu nyakati tofauti

WATU wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Tarime kwa mashitaka ya mauaji ya watu wanne katika maeneo na nyakati tofauti wilayani hapa. Walisomewa mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Tarime, Adrian Kilimi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ajali zaua watu 11 Mbeya, Mbozi kwa nyakati tofauti

Watu 11 wamefariki dunia katika matukio tofauti, ikiwamo ajali ya mabasi mawili yaliyogongana mjini Tunduma wilayani Momba juzi jioni na kusababisha vifo vya watu tisa na majeruhi 24.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 12 kizimbani kwa tuhuma za mauaji ya Kiteto

Wafugaji 12 wa jamii ya Kimasai wilayani Kiteto, katika Mkoa wa Manyara, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya wakulima tisa.

 

5 years ago

Michuzi

MSHUKIWA WA MAUAJI YA BINTI WA KAZI KIZIMBANI KWA KESI YA MAUAJI NA MADAWA YA KULEVYA

Mtuhumiwa wa mauaji wa binti wa kazi Salome Zakaria,Mkami Shirima Akiwa amejifunika gubi gubi la mtandio wa dera akitoka kusikiliza kutajwa kwa kesi hiyo leo jijini Arusha.Mtuhumiwa wa mauaji wa binti wa kazi Salome Zakaria,Mkami Shirima Akiwa amejifunika gubi gubi la mtandio wa dera akitoka kusikiliza kutajwa kwa kesi hiyo. Pichani ni mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya binti wa kazi akiingizwa kwa hakimu mkazi mfawidhi Analia Mushi kutajwa kwa kesi yake huku akijifunika uso gubigubi kama...

 

10 years ago

Michuzi

MKOA WA KAGERA NA UTAMADUNI WA KUWAENZI VIONGOZI WAKUU WALIOUONGOZA MKOA HUO KWA NYAKATI TOFAUTI TANGU UHURU MWAKA 1961

Mkuu wa Mkoa wa Kagera wa sasa Mheshimiwa John V.K. Mongella ukimuaga aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Kagera wa 20  Kanali Mstaafu Fabian Inyasi Massawe kwa jina maarufu Mulokozi.Tangu uhuru  wa iliyokuwa Tanganyika sasa Tanzania  mwaka 1961 miaka 53 ya uhuru mkoa wa Kagera umekuwa ukiongozwa na viongozi mbalimbali hasa katika nafasi ya  ukuu wa mkoa na kwa kipindi hicho chote hadi sasa tayari mkoa umeongozwa na wakuu wa mikoa wapatao 21 kwa vipndi  tofauti.

Viongozi hao  (Wakuu wa Mkoa)  waliowahi...

 

11 years ago

Habarileo

36 kizimbani kwa kesi za mauaji

WATUHUMIWA 36 wa kesi 11 za mauaji, wanatarajiwa kupandishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora, ambayo inaendelea na kikao chake mkoani hapa.

 

10 years ago

Habarileo

Kizimbani kwa mashitaka ya mauaji

WAKAZI wawili wa Dar es Salaam, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, wakikabiliwa na mshitaka ya mauaji. Washitakiwa hao ni Habibu Mohammed (28) ambaye hati ya mashitaka ilimtambulisha kuwa ni Dereva na Said Kassimu (29) ambaye ni mfanyabiashara.

 

9 years ago

Mtanzania

Padre mtarajiwa kizimbani kwa mauaji

Pg 3 sept 10NA JANETH MUSHI, ARUSHA

MTUHUMIWA wa mauaji katika Hoteli ya A Square Belmont jijini Arusha, Elijus Lyatuu (31), ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tano wa masomo ya falsafa katika Chuo cha Kanisa la Katoliki Segerea jijini Dar es Salaam, amepandishwa kizimbani na kusomewa shtaka la mauaji.

Mtuhumiwa huyo, alifikishwa mahakamani jana saa 4:30 asubuhi akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi ndani ya gari aina ya Toyota Land Cruiser yenye namba za usajili  PT 1434.

Mwendesha mashtaka wa Serikali,...

 

10 years ago

Habarileo

Askari wa JWTZ kizimbani kwa tuhuma za mauaji

ASKARI wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kwa tuhuma ya kumpiga hadi kumuua Chacha Juma, mkazi wa Nzega Mjini.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Ofisa Usalama kizimbani kwa mauaji ya bosi wake


NA FURAHA OMARY
OFISA Usalama wa Taifa, Mohammed Kazembe, anayetuhumiwa kumuua bosi wake, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa shitaka la mauaji, akiwa hoi hajiwezi.
Kazembe (33), alifikishwa mahakamani hapo jana asubuhi, akiwa amebebwa na watu wawili huku mguu wake wa kushoto ukiwa umefungwa bandeji kutoka kwenye kisigino hadi ugokoni na mkononi alikuwa na njia ya kuwekea dripu ya maji.
Mshitakiwa huyo, mkazi wa Mwananyamala, ambaye hakuwa na uwezo wowote wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani