MKOA WA KAGERA NA UTAMADUNI WA KUWAENZI VIONGOZI WAKUU WALIOUONGOZA MKOA HUO KWA NYAKATI TOFAUTI TANGU UHURU MWAKA 1961
![](http://4.bp.blogspot.com/-kN_WkDLMkWQ/VSjLDzv7VjI/AAAAAAAHQRA/KF8uDVqAS-s/s72-c/unnamed%2B(42).jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Kagera wa sasa Mheshimiwa John V.K. Mongella ukimuaga aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Kagera wa 20 Kanali Mstaafu Fabian Inyasi Massawe kwa jina maarufu Mulokozi.Tangu uhuru wa iliyokuwa Tanganyika sasa Tanzania mwaka 1961 miaka 53 ya uhuru mkoa wa Kagera umekuwa ukiongozwa na viongozi mbalimbali hasa katika nafasi ya ukuu wa mkoa na kwa kipindi hicho chote hadi sasa tayari mkoa umeongozwa na wakuu wa mikoa wapatao 21 kwa vipndi tofauti.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMENEJIMENTI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA YAMPONGEZA MKUU WA MKOA HUO ENG. STELLA MANYANYA KWA USHINDI WA KISHINDO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MBINGA MAGHARIBI
9 years ago
Dewji Blog07 Jan
Majaliwa ahitimisha ziara yake mkoani Ruvuma na kuagana na viongozi wa mkoa huo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana viongozi wa mkoa wa Ruvuma baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku tatu mkoani huo Januari 6, 2016. Kulia kwake ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana viongozi wa mkoa wa Ruvuma baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku tatu mkoani huo Januari 6, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-GSUStKiGRWs/VDGfbgukP9I/AAAAAAAGoIw/y44L9PfHNCo/s72-c/pinda2.jpg)
PINDA: VIONGOZI WA MKOA TUMIENI BUSARA KUMALIZA MGOGORO WA KISIASA KAGERA
![](http://4.bp.blogspot.com/-GSUStKiGRWs/VDGfbgukP9I/AAAAAAAGoIw/y44L9PfHNCo/s1600/pinda2.jpg)
Ametoa wito huo jana usiku (Jumamosi, Oktoba 5, 2014) wakati akizungumza na viongozi na watendaji wa Serikali wa mkoa huo mara baada ya kupokea taarifa ya mkoa huo iliyowasilishwa kwake na Mkuu wa Mkoa huo, Kanali (Mst) Fabian Massawe.
Waziri Mkuu aliwasili Bukoba jana jioni akitokea Dodoma ili kumwakilisha Rais Jakaya...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-DmuJcS3HXhk/VX5IGzsdJjI/AAAAAAAC6oQ/eTvH-CUJkGo/s72-c/70.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOA WA KAGERA,LEO KUVAMIA MKOA WA GEITA
![](http://4.bp.blogspot.com/-DmuJcS3HXhk/VX5IGzsdJjI/AAAAAAAC6oQ/eTvH-CUJkGo/s640/70.jpg)
Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake hiyo ya kukagua...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-EOqduz8epSE/U2Kxxm9cqqI/AAAAAAAFee4/85iul0jmv-U/s72-c/1A.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AWASILI MJINI BUKOBA MKOA WA KAGERA JIONI HII KUWASHA MWENGE WA UHURU KESHO
![](http://1.bp.blogspot.com/-EOqduz8epSE/U2Kxxm9cqqI/AAAAAAAFee4/85iul0jmv-U/s1600/1A.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-q4Mp0kcwVrk/U2KxxsxxibI/AAAAAAAFefA/mkQUa_04_wc/s1600/2.jpg)
9 years ago
MichuziTIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR WAENDELEA KUJIFUA KUJIANDAA KUWAKABILI WENZAO WA MKOA WA ARUSHA
Mbali na mchezo huo pia timu hizo zinatarajia kufanya shughuli za Kijamii, ikiwa ni pamoja na kutembelea wagonjwa na Vituo vya Albino kwa lengo la kudumisha Amani na Mshikamano...
11 years ago
Habarileo07 Feb
8 kizimbani kwa mauaji ya watu nyakati tofauti
WATU wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Tarime kwa mashitaka ya mauaji ya watu wanne katika maeneo na nyakati tofauti wilayani hapa. Walisomewa mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Tarime, Adrian Kilimi.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/kyerwa-palikuwa-hapatoshi-leo.jpg)
MAGUFULI AFUNGA KAMPENI ZAKE KWA MKOA WA KAGERA
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Ajali zaua watu 11 Mbeya, Mbozi kwa nyakati tofauti