PINDA: VIONGOZI WA MKOA TUMIENI BUSARA KUMALIZA MGOGORO WA KISIASA KAGERA
![](http://4.bp.blogspot.com/-GSUStKiGRWs/VDGfbgukP9I/AAAAAAAGoIw/y44L9PfHNCo/s72-c/pinda2.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa mkoa wa Kagera ukae na kuzungumza ili kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa kisiasa katika Manispaa ya Bukoba kwa manufaa ya wananchi.
Ametoa wito huo jana usiku (Jumamosi, Oktoba 5, 2014) wakati akizungumza na viongozi na watendaji wa Serikali wa mkoa huo mara baada ya kupokea taarifa ya mkoa huo iliyowasilishwa kwake na Mkuu wa Mkoa huo, Kanali (Mst) Fabian Massawe.
Waziri Mkuu aliwasili Bukoba jana jioni akitokea Dodoma ili kumwakilisha Rais Jakaya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Apr
Pinda aombwa kumaliza mgogoro wa wafanyabiashara
SERIKALI imetakiwa kuchukua hatua za haraka kuzuia migogoro ya jumuiya ya wafanyabiashara nchini kwa kuwa imekuwa chanzo kikubwa cha kuporomoka kwa uchumi wa nchi.
11 years ago
Habarileo12 Dec
Pinda aagiza mkutano kumaliza mgogoro
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameingilia kati mgogoro wa vijiji viwili vya wilaya za Sikonge na Manyoni, na kuagiza kuitishwe mkutano utakaowashirikisha wanavijiji husika.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-kN_WkDLMkWQ/VSjLDzv7VjI/AAAAAAAHQRA/KF8uDVqAS-s/s72-c/unnamed%2B(42).jpg)
MKOA WA KAGERA NA UTAMADUNI WA KUWAENZI VIONGOZI WAKUU WALIOUONGOZA MKOA HUO KWA NYAKATI TOFAUTI TANGU UHURU MWAKA 1961
![](http://4.bp.blogspot.com/-kN_WkDLMkWQ/VSjLDzv7VjI/AAAAAAAHQRA/KF8uDVqAS-s/s1600/unnamed%2B(42).jpg)
10 years ago
Habarileo28 Oct
'Mapadri tumieni busara hofu ya ebola'
BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limewataka maparoko kuangalia ni namna gani nzuri waumini wao wanaweza kutakiana amani, kutokana na hofu ya homa kali ya ebola, iliyojengeka miongoni mwa waumini wa kanisa hilo, hasa wa Kanda ya Ziwa.
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Busara itumike kumaliza mzozo wa kodi ya TFF
10 years ago
Habarileo16 Jan
RC kumaliza mgogoro wa ardhi Nyakato
KATIKA kukabiliana na mgogoro wa ardhi katika eneo la Mahangu C kata ya Nyakato wilayani Ilemela, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo ameahidi kupeleka wataalamu wengine kwa ajilii ya kufanya uhakiki mpya.
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Burundi yakumbwa na mgogoro mzito wa kisiasa
11 years ago
BBCSwahili11 Jul
Obama: Marekani kumaliza mgogoro Gaza
10 years ago
BBCSwahili22 Jan
SPLM kumaliza mgogoro Sudan Kusini