Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Busara itumike kumaliza mzozo wa kodi ya TFF

Serikali ya Rais John Magufuli imeanza kazi kwa nguvu, ikielekeza macho yake katika ukusanyaji wa mapato kwa kuhakikisha wote wanaotakiwa kulipa kodi, wanafanya hivyo na kudhibiti matumizi ya fedha hizo za walipakodi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHADEMA, POLISI BUSARA ITUMIKE

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,  Freeman Mbowe, Na Ojuku Ibrahim
MAAZIMIO ya Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kuitisha maandamano na migomo isiyokoma nchi nzima kupinga kuendelea kwa vikao vya Bunge Maalum la Katiba (BMK) na baadaye kauli kali ya Jeshi la Polisi ya kukataza kitendo hicho na kutishia kutumia nguvu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Serikali,FARC kumaliza mzozo wa Colombia

Rais wa Colombia Juan Manuel Santos ana matumaini kuwa makubaliano yaliyotiwa saini yataleta amani

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkakati wasukwa kumaliza mzozo Ukraine

Nchi za magharibi zimeweka mipango ya kumaliza mapigano mashariki mwa Ukraine

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli aagizwa kumaliza mzozo Zanzibar

Marekani imeitaka serikali ya Tanzania kuheshimu maamuzi ya raia wa Zanzibar katika uchaguzi wa urais uliopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Mzozo wanukia TFF, Bodi ya Ligi

Ni dhahiri kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi na klabu 12 za Ligi Kuu zimeingia kwenye mzozo wa kimasilahi  kutokana na makato ya asilimia tano kwa ajili ya mfuko wa maendeleo ya soka nchini.

 

10 years ago

Michuzi

PINDA: VIONGOZI WA MKOA TUMIENI BUSARA KUMALIZA MGOGORO WA KISIASA KAGERA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa mkoa wa Kagera ukae na kuzungumza ili kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa kisiasa katika Manispaa ya Bukoba kwa manufaa ya wananchi. 
Ametoa wito huo jana usiku (Jumamosi, Oktoba 5, 2014) wakati akizungumza na viongozi na watendaji wa Serikali wa mkoa huo mara baada ya kupokea taarifa ya mkoa huo iliyowasilishwa kwake na Mkuu wa Mkoa huo, Kanali (Mst) Fabian Massawe.
Waziri Mkuu aliwasili Bukoba jana jioni akitokea Dodoma ili kumwakilisha Rais Jakaya...

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa  kutoka kwa […]

The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...

 

10 years ago

Michuzi

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kuwa walipa kodi bora wakubwa

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kuwa moja kati ya walipa kodi bora wakubwa wa pili kwa mwaka 2014.
Sambamba na kampuni ya Vodacom, TAWNET pia imeipongeza kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) kuweza kushika nafasi katika makampuni matatu bora. Mwaka huu, mchango wa Vodacom katika pato la taifa umeongezeka na kuisukuma kampuni hiyo katika nafasi ya pili kutoka ya tatu waliyoshika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pasaka itumike kuliombea taifa

LEO ni Sikukuu ya Pasaka, ambapo Wakristo nchini wanaungana na wenzao duniani kote kuadhimisha kumbukumbu ya mateso, kifo na ufufuko wa Yesu Kristo. Pasaka ambayo huadhimishwa baada ya siku 40...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani