CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kuwa walipa kodi bora wakubwa
![](http://4.bp.blogspot.com/-4-mHwGbycbQ/VHMXZepYdnI/AAAAAAAGzKw/ynkd-XeJi8Y/s72-c/unnamed.jpg)
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kuwa moja kati ya walipa kodi bora wakubwa wa pili kwa mwaka 2014.
Sambamba na kampuni ya Vodacom, TAWNET pia imeipongeza kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) kuweza kushika nafasi katika makampuni matatu bora. Mwaka huu, mchango wa Vodacom katika pato la taifa umeongezeka na kuisukuma kampuni hiyo katika nafasi ya pili kutoka ya tatu waliyoshika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-HiNOv-qNoLY/VG9r9an6zwI/AAAAAAAGywI/n9OvoEvsqj4/s72-c/001.KODI.jpg)
Vodacom kinara wa kulipa kodi sekta ya mawasiliano
![](http://2.bp.blogspot.com/-HiNOv-qNoLY/VG9r9an6zwI/AAAAAAAGywI/n9OvoEvsqj4/s1600/001.KODI.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Xc_95bVFIw8/VG9r9unqy8I/AAAAAAAGywM/-TMGXxMl5GI/s1600/003.KODI.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dM6a4AYRwJO0WWziC7ef9awx*iVnDebyc6V-WHXsUle7U6eqVNBgArksEKhGTCTKI65sut9gW87*TAKmYsr06C0EyQliCa6S/3001.KODI.jpg?width=650)
VODACOM KINARA WA KULIPA KODI SEKTA YA MAWASILIANO
10 years ago
Michuzi23 Nov
10 years ago
Michuzi06 Dec
kampuni ya selcom wireless yaipiga jeki Chama cha waandishi wa habari za michezo nchini (taswa)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
HAIJAPATA KUTOKEA, VODACOM KINARA WA KULIPA KODI KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI
9 years ago
MichuziWAANDISHI WA HABARI WAPEWA ELIMU YA MASUALA YA KODI
10 years ago
Habarileo09 Jan
TAWNET wataka uchunguzi wakwepa kodi kwenye sukari kuharakishwa
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) kimeitaka Serikali kuharakisha uchunguzi dhidi ya wafanyabiashara wanaoingiza sukari kimagendo na kukwepa kodi.
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Wakwepa kodi walipa bilioni 10/-
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imekusanya Sh bilioni 10.75 kati ya Sh bilioni 80 zinazodaiwa kutoka kwa wafanyabiashara waliokwepa kodi kwa kupitisha makontena 329 bila kulipa ushuru.
Fedha hizo zimekusanywa ndani ya siku sita baada ya Rais John Magufuli kukutana na wafanyabiashara Ikulu jijini Dar es Salaam na kuwapa siku saba kulipa fedha hizo kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.
Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa...
9 years ago
Habarileo04 Dec
Magufuli awashukia walipa kodi nchini
RAIS John Magufuli ametangaza kiama kwa wafanyabiashara wote wenye tabia ya kukwepa kulipa kodi na kusisitiza kuwa kamwe Serikali yake ya Awamu ya Tano, haitovumilia kitendo hicho. Kutokana na hayo, Dk Magufuli ametoa siku saba kwa wafanyabiashara wote nchini waliokwepa kodi wakiwemo wale wa makontena takribani 349 yaliyopitishwa bandarini bila kulipa kodi, waende wakalipe kodi hiyo mara moja, vinginevyo sheria itafuata mkondo wake.
Aidha, amewatoa hofu wafanyabiashara wa sekta binafsi...