kampuni ya selcom wireless yaipiga jeki Chama cha waandishi wa habari za michezo nchini (taswa)
Meneja Biashara, ukuzaji na Masoko wa kampuni ya Selcom Wireless, Juma Mgori (Katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na udhamini wa Tuzo za wanamichezo bora za Chama cha waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa). Kampuni hiyo imetoa udhamini wa Sh Milioni 30. Kushoto ni Gallus Runyeta ambaye ni Meneja Miradi wa kampuni hiyo na kulia ni Mwenyekiti wa Taswa, Juma Pinto
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8lCmT7b9pqU/VjUAWZLajcI/AAAAAAAIDzE/-2bDmvac2S4/s72-c/JUMA%2BPINTO.jpg)
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) champongeza Dkt John Magufuli
![](http://1.bp.blogspot.com/-8lCmT7b9pqU/VjUAWZLajcI/AAAAAAAIDzE/-2bDmvac2S4/s640/JUMA%2BPINTO.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Mar
TASWA yawapiga msasa waandishi wa habari za michezo nchini
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi, akimkabizi cheti Rajabu Mhamila baada ya mafunzo ya uhandishi wa habari kulia ni mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto na Katibu Mkuu wa Mchezo wa Riadha nchini Suleiman Nyambu … (RT)
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ kulia akibadilishana mawazo na mwalimu wake wa habari za michezo Salim Said Salim wakati wa mapumziko mafupi ya mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Taswa jana.
Baadhi ya waandishi...
10 years ago
MichuziKAMATI YA UTENDAJI YA CHAMA CHA HABARI ZA MICHEZO (TASWA) KUKUTANA AGOSTI 7 2015 JIJINI DAR
A; KIKAO KAMATI YA UTENDAJI
KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), inatarajiwa kukutana Ijumaa Agosti 7, 2015, Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali yahusiyo michezo na waandishi wa habari za michezo hapa nchini.
Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kitajadili namna bora ambayo chama kinaweza kushiriki kwa kuangalia jinsi ya kuwaunganisha wanamichezo kwa namna mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 25...
10 years ago
VijimamboTASWA YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO 'SUPER D' AKIWEMO NDANI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-4-mHwGbycbQ/VHMXZepYdnI/AAAAAAAGzKw/ynkd-XeJi8Y/s72-c/unnamed.jpg)
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kuwa walipa kodi bora wakubwa
![](http://4.bp.blogspot.com/-4-mHwGbycbQ/VHMXZepYdnI/AAAAAAAGzKw/ynkd-XeJi8Y/s1600/unnamed.jpg)
Sambamba na kampuni ya Vodacom, TAWNET pia imeipongeza kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) kuweza kushika nafasi katika makampuni matatu bora. Mwaka huu, mchango wa Vodacom katika pato la taifa umeongezeka na kuisukuma kampuni hiyo katika nafasi ya pili kutoka ya tatu waliyoshika...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Mmw-kcctJ0c/Vfx4CXtHS3I/AAAAAAAH59Y/0-BDG4IVP1M/s72-c/download%2B%25282%2529.jpg)
MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro yaipiga jeki taswa katika tuzo za Wanamichezo Bora
![](http://2.bp.blogspot.com/-Mmw-kcctJ0c/Vfx4CXtHS3I/AAAAAAAH59Y/0-BDG4IVP1M/s400/download%2B%25282%2529.jpg)
Tuzo hizo zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA zinatarajiwa kufanyika Oktoba 8, mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, ambapo pia TASWA itatoa Tuzo ya Heshima kwa Rais Kikwete ikiwa ni kuthamini mchango wake kwa sekta ya michezo katika uongozi...
10 years ago
Michuzi17 Jun