Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) champongeza Dkt John Magufuli

Juma Pinto Mwenyekiti TASWACHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA), kinatoa pongezi za dhati kwa Dk. John Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Tanzania. TASWA imepokea kwa furaha ushindi huo wa Dk. Magufuli, ikiamini atawapa furaha wanamichezo katika masuala mbalimbali kama alivyofanya mtangulizi wake Rais, Jakaya Kikwete ambaye anamaliza muda wake wa kuwatumikia Watanzania kwa mujibu wa katiba na ataanzia pale mtangulizi wake alipoishia kuhusiana na michezo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

kampuni ya selcom wireless yaipiga jeki Chama cha waandishi wa habari za michezo nchini (taswa)


Meneja  Biashara, ukuzaji na Masoko wa kampuni ya Selcom Wireless, Juma Mgori (Katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na udhamini wa Tuzo za wanamichezo bora za Chama cha waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa). Kampuni hiyo imetoa udhamini wa Sh Milioni 30. Kushoto ni Gallus Runyeta ambaye ni Meneja Miradi wa kampuni hiyo na kulia ni Mwenyekiti wa Taswa, Juma Pinto

 

10 years ago

Dewji Blog

TASWA yawapiga msasa waandishi wa habari za michezo nchini

IMG_7336

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi, akimkabizi cheti Rajabu Mhamila baada ya mafunzo ya uhandishi wa habari kulia ni mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto na Katibu Mkuu wa Mchezo wa Riadha nchini Suleiman Nyambu … (RT)

IMG_7285

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ kulia akibadilishana mawazo na mwalimu wake wa habari za michezo Salim Said Salim wakati wa mapumziko mafupi ya mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Taswa jana.

IMG_7296

Baadhi ya waandishi...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA UTENDAJI YA CHAMA CHA HABARI ZA MICHEZO (TASWA) KUKUTANA AGOSTI 7 2015 JIJINI DAR


A; KIKAO KAMATI YA UTENDAJI
KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), inatarajiwa kukutana Ijumaa Agosti 7, 2015, Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali yahusiyo michezo na waandishi wa habari za michezo hapa nchini.

Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kitajadili namna bora ambayo chama kinaweza kushiriki kwa kuangalia jinsi ya kuwaunganisha wanamichezo kwa namna mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 25...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWA YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO 'SUPER D' AKIWEMO NDANI

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D akifuatilia kwa makini mafunzo ya uandishi wa habari za michezo zilizoandaliwa na chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA zilizofanyika Dar es salaam jana na kudhaminiwa na Times Radio na Valentino Royal HotelMwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi, akimkabizi cheti Rajabu Mhamila baada ya mafunzo ya uhandishi wa habari kulia ni mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto na Katibu Mkuu wa Mchezo wa...

 

9 years ago

Michuzi

CCM YAKANUSHA UVUMI WA HABARI YA MGOMBEA WAKE WA URAIS DKT JOHN MAGUFULI KUAHIDI KUGAWA KOMPYUTA KWA WALIMU NCHINI

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya Chama hicho,Lumumba jijini Dar,kuhusiana na madai ya kauli inayodaiwa kutolewa na Mgombea wa Urais wa Chama hicho Dkt John Magufuli kuwa kupitia Ilani yake ya chama atatoa kompyuta kwa Walimu nchi nzima iwapo CCM itapita madarakani,habari ambazo Nape amezikunusha vikali na kusema hayo ni maneno ya uzusihi na kuwa Dkt Magufuli hajawahi kutamka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani