TASWA YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO 'SUPER D' AKIWEMO NDANI
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D akifuatilia kwa makini mafunzo ya uandishi wa habari za michezo zilizoandaliwa na chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA zilizofanyika Dar es salaam jana na kudhaminiwa na Times Radio na Valentino Royal Hotel
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi, akimkabizi cheti Rajabu Mhamila baada ya mafunzo ya uhandishi wa habari kulia ni mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto na Katibu Mkuu wa Mchezo wa...
Vijimambo